Mdau mkuu wa Libeneke na nanihii
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT "THE SMART CHOICE" Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Ila nawaomba tuweze kujieshimu kila mmoja wetu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya globu ya jamii, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoeleza vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.



 

Sunday, August 13, 2006
pati

watu kibao walijitokeza kumpongeza miss tz 2006 wema sepetu kuwa pia miss photopoint photogenic 2006 ijumaa usiku
 
© Michuzi | Sunday, August 13, 2006 | Permalink | Mtumie Rafiki Yako |


Maoni: 30


  • Tarehe Sun Aug 13, 04:41:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Bongo jamani raha sana

     
  • Tarehe Sun Aug 13, 05:42:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    mama .. mathew kawa kibongo ivyo kweli starehe mbele

     
  • Tarehe Sun Aug 13, 05:50:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    girls ur looking hot nice one.

     
  • Tarehe Sun Aug 13, 09:40:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    jamani huyo Anitha vipi gauni hilooo?? limemganda halimtoki mwilini? Stella mtoto anazambi sana anampa mwenzake makombo ya Motie

     
  • Tarehe Sun Aug 13, 11:48:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Naona mzee Kinje kafurahiiiiii! sawa mzee nakufagilia, huna makuu.Nisalimie mama na baba.

     
  • Tarehe Mon Aug 14, 07:32:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Anaye wajua hawa watu tupe majina yao basi?

     
  • Tarehe Mon Aug 14, 01:34:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    wewe ni wa pili toka kulia kwa kinje unaitwa stella............nafikiri sijakosea

     
  • Tarehe Mon Aug 14, 03:37:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Hujakosea ni stella,alafu kuna anita ambaye ndo mpambe wake hapo,stella ni noma jamani huyo demu kinje,mtoto wa mengi,na unae jijua pia list ni ndefu tuu.ila mzuri wa sura.lol

     
  • Tarehe Mon Aug 14, 04:56:00 PM, Mtoa Maoni: Blogger mzozaji

    I lOVE BONGO.........!!!!!!!

     
  • Tarehe Mon Aug 14, 05:24:00 PM, Mtoa Maoni: Blogger MREKEBISHARIKA

    i love you mzozaji...........

     
  • Tarehe Mon Aug 14, 08:40:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Jamani nyie mtoto wa mengi si alikufa kwa ngoma sasa huyu demu mnayemsema hapa mmeshampima na kujua afya yake au mnazama tu ajali kazini.

     
  • Tarehe Tue Aug 15, 04:25:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Huyu wa pili kushoto anaitwa Judy, anauza maandazi Tim Hortons Canada

     
  • Tarehe Tue Aug 15, 12:59:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous NIPASHE

    Wote hao namba mbaya kuanzia huyo mathew,judy,kinje ndo usiseme,agnes nae ni luzi tuu,alikuwa analiwa na meneja wa crdb bank,stellah noma kaeni mbali na anita anafanya anachofanya stella,niulizeni mimi niko bongo hapa najua data zote za hawa masupaa staa wahapa mzee,wote hapo ni sooo!

     
  • Tarehe Tue Aug 15, 01:50:00 PM, Mtoa Maoni: Blogger MREKEBISHARIKA

    HAY YAMEKUWA MAPYA KABISA, KUNA HUYU NDUGU YANGU AMEJITAMBULISHA KWAMBA ANAITWA NIPASHE. NIMEVUTIWA NAWE NA HASA KWA UFUNUO ULIOTUPA NA KWA KWELI UNAENDANA NA JINA LAKE...........HEBU TUAMBIE SISI TUSIOWAJUA WAKINA KINJE KABLA HATUJAKUTANA NAO MAANA NAJUA ITAKUWA TABU. NAINGIA BONGO KARIBUNI................NISAIDIE NDUGUYO

     
  • Tarehe Tue Aug 15, 04:06:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    mwenye top nyekundu anitwa happy mtoto kwao choka mbaya kampata kinje masikini anafiliri kapata kumbe miwaya tu.Eti ndio kapersonal assitant wake.Mbaya zaidi wanaliwa wote na Stella wa motie imagine miwaya plus miwaya si bomu hilo.

     
  • Tarehe Tue Aug 15, 05:02:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous NIPASHE

    MREKEBISHARIKA we zama tuu bongo hao wakina kinje wasikutishe sana ila kama unaenda anga zake mzee anakuwa noma so takecare.lakini hao wote unaowaona ni ndugu zetu waliopotea kwa mambo ya kawaida tuu.

     
  • Tarehe Tue Aug 15, 05:04:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Stella mwenyewe kajiaribia tuu,mtoto angekuwa mbali sana huyo cause ni kichwa shule mi nimesoma nae na namjua toka mdogo mtoto ana akili za darasani sio za ulimwengu na ndo kilicho mponza.sema ndo vile tuu tamaa.

     
  • Tarehe Tue Aug 15, 06:15:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Jamani, kuna dada amesimama wa kwanza kabisa kulia. Mbona huyo naona hamjamwongelea? Au kwasababu haonekani vizuri?
    Mimi amenivutia sana. Ebu anayemfahamu aweke jina lake hapa.

     
  • Tarehe Tue Aug 15, 11:24:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Anaitwa KOKU

     
  • Tarehe Wed Aug 16, 02:07:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    kweli kizzuri ni mikononi mwa mwenye nacho............ndugu yangu nambie kama una mamcho kweli ndiyo huyo dada out of watu wote hao au kwa kuwa umeambiwa kuna cheni ya ngoma hapo.

    'usiogope maneno ya blog hayamzuii mtu kuendelea na zake mbinu'....wewe teuwa kitu kilichotulia acha kuangalia nani asemwi.

    mie ningekushauri dada wa pili kabla ya kinje.huyu mtoto anaonekana moto sana ndani ya kitanda kaka.na pia ukimuangali sana anafaa kuwa mama wa nyumbani.usife moyo.

    HOLLA!

     
  • Tarehe Wed Aug 16, 04:05:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Hivi koku anatokea mbeya make mimi ningependa nimtafute nijirushe naye jmosi hii nikifika bongo nipe contact zake basi! aliyenazo hata mail.

     
  • Tarehe Wed Aug 16, 05:11:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Hakai Mbeya ila alisoma LOREZA Mbeya na ni mchanganyiko wa Mbeya na Bukoba ndio umetoa kitu hicho.Ukivinjari viwanja hapa DAR utamuona na heshima zake hilo lazima uelewe sawa muwindaji?

     
  • Tarehe Wed Aug 16, 10:07:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    wewe anony mwenye shida na Koku waweza kumpata kwa kutumia email kokulme@yahoo.co.uk

     
  • Tarehe Thu Aug 17, 04:14:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Hivi huyo Kinje ndo huyo jambazi anayemuoa mtoto wa JK? Sasa kama anaeneza ukimwi kwanini babaake Musuguli amrudishi kwao Uganda alipomuokota?

     
  • Tarehe Thu Aug 17, 09:42:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    NO ANONY HAPO JUU,KINJE SI JAMBAZI,UMEMCHANGANYA NA ALBERT MARWA,ALBERT NDO JAMBAZI ANAYETAKA KUOA MTOTO WA JK.SI KINJE.

     
  • Tarehe Thu Aug 17, 09:44:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    hivi huyo mtoto wa jk bado hajaolewa tu na huyo jambazi?mana tumeanza kusikia siku nyingi hizi habari,harusi lini?

     
  • Tarehe Fri Aug 18, 01:04:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Mimi mwindaji naona naelekea kupata nilitaka kweli mtu wa bukoba hila nikakosea kusema mbeya. Mbona email ni un-reachable, nimetuma imebaunzi au umekosea nini?

     
  • Tarehe Sat Aug 19, 01:57:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Wewe mwindaji unaye taka mtu wa bukoba huyo apo mtoto stellah,ila ndo vile.

     
  • Tarehe Sun Sep 03, 04:27:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous mkereketwa

    Du,,wabongo mnamaneno kinoma,,hamuwezi kunyamaza mpaka mseme kila kitu,,kila mtu anauwamuzi wa kuishi navyotaka,,kama na wewe unataka, just go ahead siyo kufuatilia maisha ya watu,no body care,anaukimwi anaukimwi,,nani kamipima,,mtakufa nyie huyo mtamuacha hapo hapo,,,

     
  • Tarehe Sat Sep 23, 04:04:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Sio suala la kusema wabongo wana meneno maneno mnayo wenyewe mnaojiita masupastaa, kazi kuendekeza upumbavu ambao wengine wanaauita umalay, hatutafika namna hii jamani tujirekebishe!
    Kama m2 ni tabia zake mwache awekwe wazi....hahahaaaa!

     


Idadi ya watu
eXTReMe Tracker