salaam toka atlanta kwa dada cynthia masasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 222 mpaka sasa

  1. Naona kila mtu anataka kutangaza biashara yake hapa. Ama kweli huu mjadala wa Cynthia umekuwa maarufu.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. Habari


    First Lady apakwa na wanaharakati
    Akina mama wa Bongo wametoa shutuma nzito kwa mama Kikwete juu ya kuhudhuria kwake sherehe za Mfalme wa Swaziland za Septemba kila mwaka.

    Shutuma zimepitia mtandao wa FemAct walioshutumu kuwa,
    kwenda kwa mama Salma katika sherehe hizo alizopata mwaliko
    kutoka kwa mojawapo wa wake wa Mfalme Mswati ni sawa na
    kukubaliana na mila hizo.


    Mama Salma Kikwete kwenda kwake Swaziland kumeibua balaa


    Katika sherehe hizo vibinti vidogo vizuriii hupita mbele ya Mfalme Mswati wakiwa nusu uchi na kumpa wasaa wa kuchagua mmoja wao kuwa mke wake.

    Anayechaguliwa huungana na wake wengine wa Mfalme
    huyo katika kasiri lake la kifalme huku wakipata mahitaji muhimu ya mke wa Mfalme Mswati.


    Hivi ndio vimbwanga vya Swaziland kwa akina dada..


    Mama Salma alihudhuria sherehe za mwaka huu nchini humo na alionekana katika picha za magazeti ya Kibongo akiwa kwenye sherehe hizo.

    FemAct iliungana na Chama cha Waandishi wa Habari -TAMWA, Mtandao wa Jinsia -TGNP na Shirika la Kusaidia Watoto wa Kike -FAWE kumkalia kooni vilivyo mama Salma kwa ziara hiyo.

    Katika shutuma hizo, wanaharakati hao walitonya kuwa huenda
    first lady wetu alipata ushauri mbaya na wakaongeza kuwa wako tayari kuwa washauri wa Mama Salma katika masuala ya kijinsia.

    MI SISEME LOLOTE....LEO

    ReplyDelete
  4. Mnaona watu wamesha choka kumsema Cynthia! Tuone watu watakavyojaa huko Chi-Town.

    ReplyDelete
  5. tunakutakia tamasha jema mrembo wetu wa kibongo!fanya fanya uje uzindue na huku uk!tunakusubiri kwa hamu.tutakupa shavu kwa kwenda mbele.
    we love you girl!

    ReplyDelete
  6. Hao wabongo wanaolalamika na mama kikwete ni wale wachovu.wanahisi hela ya serikali imehujumiwa labda kalipiwa na mfalme jamani.sio hatari!

    ReplyDelete
  7. Nimesoma sana hizi comments za watu. Mpaka sasa hivi kwa kweli sielewi watu wanaomsifia au kumkanda huyu dada. Kwa kweli kazi anayoifanya sio ya kistaarabu, kweli yeye ni one of the groupies as we know, lakini ukiangalia other side of the coin, "SHAURI YAKE" kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Lakini kwasababu ni mtanzania, tuelewe uchungu wa watanzania wenzake. Cinthia unasema wewe ni the most intelligent model in Tanzani??? R u sure about that?? Nigga Please!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. ANON 10:45PM RUDI UKASOMA VIZURI SIJUI UMESOMA WAPI CYNTHIA KASEMA YEYE NI INTELLIGENT MODEL WA TANZANI? MIMI NILIVYOSOMA AMESEMA "I AM ONE OF THE POPULAR MODEL IN TANZANIA".IF IM NOT CONFUSED.SASA WEWE HAPO JUU UNATAKA KUANZISHA BLOG IANZE MOJA.

    WE LOVE U CYNTHIA WELCOME TO DULBIN WE WILL SUPPORT U.

    ReplyDelete
  9. Nadhani hawa watu wanaojiita watanzania sijui wanakaa dunia ipi.
    Kila mtu aliomba visa kivyake na kila mmoja alikuwa na sababu zake za kuwa hapo alipo sasa.Kila mmoja ana plans ana ambitions zake. kuna hii tabia ya kujifanya moral policemen!!!!!!!!! ambayo watu wanajifanya kuwa mitizamo yao ya maisha ndio iliyo sahihi kuliko ya kila mtu na wao ndio walio mahakimu wa wengine.

    Huyu msichana anauza calender,, ana soko analolenga kuwa watanunua calenda zake. watanunua watu wengi, weupe kwa weusi. Kama huipendi hiyo calenda basi usiinunue!!!!!!!!! Watanunua wanaotaka,,, huu ujinga wa kutaka kuburuza watu wafuate hoja zenu,,, tafuteni kazi ya kufanya na muda wenu sio kujiingiza kwenye hatred kampeni za kijinga!!! keep it up girl!!!

    ReplyDelete
  10. wewe anony 11:46 hii siyo blog yako hayo mambo alitakiwa aseme Michuzi, mshenzi we. Michuzi kaweka hiyo ad na sisi tunatakiwa comments au wewe mpumbavu uelewi maana ya comments? Cynthia naona watu wa ulaya wanakupenda sana nenda kawauzie huko au wape bure ni yako.

    ReplyDelete
  11. Watanzania, naomba tubadilike na tuwe na utamaduni wa kuungana mkono mmoja wetu anapofanikiwa. Cynthia anahitaji pongezi kwa hatua aliyofikia, whether you like or hate it, i can see a shining star on the girl, Cynthia, don't focus on skeptics, look ahead where your crown is. Ignore the CRABOLOGY system people(People who tend to pull down others when they try to climb high).

    ReplyDelete
  12. richard hapo juu na huyo anony mwengine mmesema ukweli. hakuna haja ya kulazimisha fikra zenu kwa wengine. Kama wewe hutaki kuona cynthia anaendelea hayo ni matatizo yako. Wengine mama zenu wagonjwa tanzania, kwa nini msitumie muda wenu kuwatunza? Wengine mna UKIMWI, kwa nini msitumie muda wenu kutafiti kwenye mtandao jinsi ya kurefusha maisha yenu? Cynthia handles hers. You, handle yours.

    ReplyDelete
  13. I AGREE WITH RICHARD,MAZEMBE AND ANON HAPO JUU.GO CYNTHIA SUPER TANZANIAN SUPER MODEL.

    ReplyDelete
  14. maswala mengine sijui lakini katika macho yangu huyu dada mzuri.Labda angejifunika sana nisinge kuwa na uhakika sana.

    ReplyDelete
  15. Waungwana, hii hali ya kutukana na kuwavunjia watu heshima imekithiri, na hivyo hatutaendelea kuivumilia isipokuwa kuifanyia kazi. Nimeunganisha kikundi cha watu watano wenye nia dhahiri ya kupambana na hili suala. As from now on, we will crack down and find out which computers were used to send those profanity massages. Hatuna uwezo wa kukuchukulia hatua yoyote kisheria, bali tutaweka majina ya wahusika humu ili pengine hao waliotukanwa ndio washughulike na wewe, hili si jambo la mchezo maana hali hii imetuchosha.

    ReplyDelete
  16. Nakusupport kwa asilimia 100 anon 11:46.yaani una akili na unaijua mitanzania.yani mavichwa yao magumu kama mawe.alafu maendeleo hayana .rubbish tupu kichwani.yani inakuaje m2 unakaa unaumia na k2 mtu mwingine anafanya???Jamani jamani ebu mkue kwanza!Na nauhakika hii mij2 mibishi ni baadhi ya ile iliyozaliwa kuanzia enzi za mkoloni mpaka pale mwishoni mwishoni wa utawala wa marehem baba wa taifa!akili zao kuma mbegles cjui zikoje.kuweni social!Mind ur fuckn own business.mnachefua!mambo yanabadilika jamani.wala co hatari huyu dada anachokifanya.

    ReplyDelete
  17. wengine mnajifanya watanzania kila baada ya sentesi moja oooh huyu mtanzania.uku mlikimbia jiji mmelowea ughaibuni.kama mnauchungu sana rudini kwenu mkaaze kuwazuia machangudoa wa uwanja wa fisi mje mpaka ohio.hao machangu wenyewe wanapeta pale town na kazi yao ya uchangu, kila cku iendayo kwa mungu.na serikali iko pale pale.kwani serikali haiwaoni?c inawaangalia tu.wameamua kuwa hivyo wameachwa wawe hivyo.sembuse huyu mrembo wa wa2 anaetumia mamilion yake kuendeleza kipaji.au mnadhani kalenda na website alitumia mavuzi yenu mliyoyanyoa?its all about fweza.na m2 anaetumia jasho lake mumkome waluga luga nyinyi.wengine hapo hata lotion za kujipaka miilini hamna.

    ReplyDelete
  18. we ano 10:45 tumiaga romantic languge kidogo,hasa kwenye topic ya m2 romantic kama huyu.utatuitiaje n2 wetu nigga.ushamba 2.huyu sasa ivi yaani kama huwezi kumuita jina lake.model liko on behalf.neno nigga kwenye maadvance dictionary yenyewe nahisi waisha li delete.very kizamani.

    ReplyDelete

  19. Nafikiri imeshakuwa established kuwa wenye matusi ni anonymous kama wanne tu ukijumulisha na Cynthia Hater # 1 ambaye ni mtu wa tano. Haya malumbano yamefika hapa kwa sababu ya watu wachache na matusi yao. Kumbe wengi tu wana akili zao na wameona through the irrationality of the few.

    Hakuna cha utamaduni wa mtanzania kuhatarika wala uhuni wowote. Ukisoma maoni yao you would be forgiven for thinking Tanzania is turning into some kind of Sodom and Gomorrah. I will not repeat the foul language they used but one wonders why so many times these people have make reference to homosexuality. Is it in their minds always? Are they trying to tell us something?

    Tanzania is a good country where people do what they wish. Watu mkikimbia nchi na kwenda kukaa in the West, mjue hizo sehemu zimekuwa attractive kwenu partly kwa sababu ya principles zao za liberty and justice for ALL. Mbona msikimbilie Malaysia au Saudia?

    Wenzetu hawakuendelea kwa kusimanga watu na choices zao. Ila naona baadhi ya watanzania bado hatujaelewa concept ya LIVE AND LET LIVE.

    ReplyDelete
  20. Jamani, nimedokezwa kwamba mtoa maoni anayejiita "nathan nchiume" ni fraud. This person is actually not even a very smart impersonator because he or she should know better. Anyway, please disregard whatever this person says. Thanks!

    ReplyDelete
  21. Hey Ya"ll...Kuna mtu anatumia jina la Nathan Nchiume....It's not fair kuingia humu na kutumia majina ya watu kwa manufaa yako....Nathan Called me na kuanimbia kuwa that's not him.
    Please lets be human sawa.Kama unaona vipi why don't you use your own idenity kuliko kuharibu majina ya watu humu ndani eeh.Tuanche kuhariniana majina pleaseee.

    ReplyDelete
  22. Yule si wako, nami si wangu, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe???!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...