BAADA YA KUKESHA NYUMBANI KWA BABA YAKE USIKU WA KUAMKIA LEO, MWILI WA HAYATI AMINA CHIFUPA UNATARAJIWA KUSAFIRISHWA KWA NDEGE ASUBUHI HII KUELEKEA NJOMBE KWA MAZISHI.

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUTOKA KILA PEMBE NA FANI WALIMIMINIKA KUTWA YA JANA NYUMBANI KWA MZEE CHIFUPA MIKOCHENI TPDC KUTOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO.


MAREHEMU ANATARAJIWA KUPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE LEO JIONI.


MOLA AIWEKE ROHO YAKE AMINA MAHALI PEMA PEPONI


AMINA


picha zaidi na habari zinapatikana www.michuzijr.blogspot.com


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2007

    Allahu Akbar- Lailahaillah,
    Mungu ailze pema roho ya Amina Ameen. njia ya sote ila ni ngumu mungu wape subira wazazi mumewe na mwanawe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2007

    Natoa pole pia kwa Magazeti (especially Bwana Eric Shigongo) kwa kupoteza chanzo kikubwa cha habari.

    Shigongo sasa una kibarua kipya cha kumwibua Amina mwingine.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2007

    wote tuna machungu tele.wengine waliwahi kukutana naye ,wengine hawakuwahi.sote tunalia.binafsi nilimfahamu vizuri tu,inauma.nakumbuka alivyocheza mpira uwanjani machava msumbiji siku moja kabla ya mchezo wetu na msumbiji,alivyoimba wimbo wa gwantanamela pale kwenye mgahawa maputo tukisherehekea sare etc .pamoja na hayo mimi ninaomba watanzania tujenge utamaduni wa kutamka real cause of death,inasaidia sana. hivi daktari aliyemtibu kwanini asitamke kwamba SHE DIED FROM ........COMPLICATIONS,aseme tu droctor ili kuondoa hiki kiwingu.RIP

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2007

    Ama kweli wema hawana maisha. Namuonea huruma mwanae kukosa mapenzi ya mama. Lakini yote tumwachie mungu, kama kuna lolote binaadamu kachangia kifo chake historia itamuhukumu. Mpakanjia bado hajalia atalia sana alikuwa hajui thamani ya mke aliye nae. Waarabu wapo wengi akaoe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2007

    Mungu ailaze pema peponi roho ya Amina.Daima tuta kukumbuka

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2007

    Kifo cha Amina kimenisikitisha sana na japo mengi yamesemwa na yanasemwa natamani sana ukweli ujulikane.....Kwa upande wa afya kisukari na malaria sitaki kuamini kabisa ila pia sisi wabongo hatuna tabia ya kupima afya zetu mara kwa mara na pia kuna watu engi sana nyumbani wanapoteza maisha sababu madaktari wetu wanatibu gonjwa lingine tofauti na gonjwa halisi linalomsumbua mgonjwa……Kwa kweli maswala ya afya bado tunahitaji serikali yetu invest badala ya kuinvst kwenye magari na majumba yasiyo na priority

    RIP Amina! Nakumbuka kuwatch vipindi vya ITV vijana ambavyo baadhi yake ulikuwa unatangaza

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2007

    Amina Chifupa: Fears of foul play in the air

    DAY OF SORROW: The Chief Sheikh, Mufti Shaaban bin Simba, leads prayers for departed Member of Parliament Ms Amina Chifupa Mpakanjia at her parents� home in Mikocheni, Dar es Salaam yesterday. INSETS: (bottom right) Ms Chifupa in her heyday, (top left) husband Mohamed Mpakanjia and their young son Rahmanino.
    -Death clouded in murky circumstances
    THISDAY REPORTER
    Dar es Salaam

    THE mysterious death of Ms Amina Chifupa Mpakanjia, a youthful legislator who will be especially remembered for pushing the anti-drugs war in parliament, has ignited a raging controversy in the country with friends and supporters openly suggesting foul play.

    Ms Chifupa, who was elected to represent the youth as a special seats legislator on a CCM ticket, died at around 8.45 pm on Tuesday night at the Lugalo Military Hospital in Dar es Salaam, where she had been admitted for several days.

    Aged just 26, she had recently emerged as virtually a lone crusader against the spectre of drug trafficking in Tanzania, and ironically she passed away on the same day as the International Day against Drug Abuse and Illicit Drug Trafficking (June 26) was being observed both at the national level and on a global scale.

    Her shocking death has now been complicated by widespread speculation that she may have been targeted by the same drug traffickers she once famously threatened in parliament to uncover.

    Asked yesterday about the suspicions of foul play in her death, the Minister for Public Safety and Security, Bakari Mwapachu, said simply that it was premature to speculate on the actual cause of the death.

    ’’It’s too early to talk about that right now, since the family is still in mourning. I will consult with my aides later about the allegations of foul play,’’ Mwapachu told THISDAY.

    The minister responsible for crime prevention matters acknowledged that he personally had also received reports of possible foul play in the death of the young MP, but stressed that law enforcers needed more time to look into the matter.

    News that the MP had passed away started filtering in as early as Tuesday night and rapidly spread across the country via mobile phone text messages and other means of communication.

    By yesterday morning, reports of Ms Chifupa’s death were virtually the talk of the town, dominating discussions everywhere from government office corridors to daladala bus conversations.

    Although purely speculation at this stage, it is no secret that most of the talk about the legislator’s sudden demise appeared to centre around the possibility that she may have been poisoned by alleged drug barons as a way of silencing her.

    Officially, the cause of her death was reported as a combination of malaria and diabetes, but almost everybody who heard that seemed to take it with a pinch of salt.

    Ms Chifupa’s own estranged husband, Mohamed Mpakanjia, appeared to further fuel speculations of foul play when he said in a media interview that the cause of her death was also a source of mystery to immediate family members.

    ’’I don’t know what caused her death...Her blood sugar level was so high that even the doctors were amazed and actually told us that they had never before seen such a high blood sugar rate in a single human being,’’ Mpakanjia said in a live radio show monitored yesterday.

    Even the late MP’s own father, Hamisi Chifupa, was adamant that his daughter was not diabetic - although doctors at the hospital ultimately blamed her death on high fever and diabetes.

    ’’The doctors at Lugalo Hospital fought hard to save her life, but unfortunately they didn’t succeed. On our side, it came as a surprise to all of us to hear that our daughter was diabetic,’’ said Mzee Chifupa, a retired army brigadier.

    In Dodoma, members of parliament were in a sombre mood after the Speaker of the National Assembly, Samuel Sitta, confirmed the news of Ms Chifupa’s death immediately after the customary morning prayers at the start of yesterday’s session at around 9 am.

    Sitta adjourned parliament shortly after confirming the news, and called an emergency meeting to deliberate on the matter.

    In an unprecedented move, the National Assembly was adjourned for the whole day and the Speaker announced that he would be leading a delegation of more than 30 MPs from Dodoma to Dar es Salaam for the last rites, and later to Lupemba Village, Njombe District in Iringa Region for today’s funeral.

    Thousands of people from all walks of life gathered at yesterday’s last rites in Dar es Salaam, including veteran politician Mzee Rashid Mfaume Kawawa, the Chief Sheikh, Mufti Shaaban Simba, and scores of other personalities.

    The MP’s friends, who knew her simply as ’Amina’, were overcome with emotion and explained their shock at her sudden death.

    ’’Of all people, she didn’t deserve to die at this age,’’ said journalist Furaha Thonya, who introduced herself as one of the late Ms Chifupa’s friends.

    According to Ms Thonya, Amina had high political ambitions, including contesting for the powerful post of national chairman of the CCM youth wing (VIJANA), as well as a seat on the ruling party’s national executive committee (NEC).

    Despite the allegations of foul play, there has been no formal call so far from the late MP’s family for an official enquiry into her death. (See more photos on Page 4)

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2007

    Poleni Watanzania wenzangu huko Bongo.Ni kweli Amina amefariki dunia.zinaweza kutajwa sababu nyingi za kila aina laikini mkumbuke kuwa hakuna mtu aliyekuwa anajua nini kilikuwa kinaendelea kichwani au mwilini mwake tokana na ndoa yake kuwa na matatizo,magazeti yalivyomuandika kuhusu mambo yake ya "nguoni",pia sakata la madawa ya kulevya ambalo ni vita ngumu sana duniani maana
    kuna watu hakika hawakupenda yeye kuzungumzia madawa ya kulevya na kutaja baadhi ya majina wahusika wa madawa ya kulevya.

    Ikiwa tunaweza kusoma "dunia ya ndani" ya Amina tunaweza kutambua kwanini amekufa.

    Amina alipotangaza vita ya madawa ya kulevya, kwa watu wenye akili walijua mwisho wake ungekuwa kama ilivyotokea.

    Amina ulipendwa na wengi sana na mimi pia nakulilia.Sauti yako mbona imetutoka ghafla kama muziki uliopendwa na kukatishwa ghafla.?

    Amina tueleze nini kilikutokea je ni madawa ya kulevya ,magazeti au ni ndoa ndiyo iliyokufikisha hapo?

    Post mortem siiamini,maneno ya watu siyataki Amina tupatie sababu ya kutuacha mapema namna hii au utatoa jibu tutakapokuwa katika hali ya ufu kama wewe? nasubiri jibu lako Amina.

    Pamoja na yote ulale salama nyumbani njombe,huwezi kuongea na sisi tulio hai katika dunia ya ukuta!
    Pole watanzania,pole tanzania

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 28, 2007

    Hizi ni enzi za uwazi na ukweli,kufa na kisukari sizani?lakini anaweza kuwa alipata complication ya ugonjwa mwingine ikasababisha kisukari.na kama ni kisukari na maralia kwanini walificha faili?basi kuna source ya kuumwa kwake kwahiyo nashauri kuweni open kama ni ugonjwa wa kisasa semeni ili watu wangine wajifunze,she is too young to die kwa kisukari.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 28, 2007

    Anony 9:26 yote ni kumwachia Mungu . Ni vigumu kwa madoctor kusema ugonjwa kutokana na culture, stigma, na belief zetu.

    Wewe watu kila kona wanasema kasomewa albadili ...doctor atauitaje huo ugonjwa? Labda akisema amefariki from complications of albadil hata hivyo itamfanya shule na vitabu alivyosoma visifanye kazi.


    Mungu ndiye ajuaye yote

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 28, 2007

    Jamani binadamu tukoje???????? Mtu yeyote anaweza pata kisukari kama kichwa tu kinauwa mtu au mtu kalala vizuri tu asubuhi kakutwa amekufa mbona hatusemi???????????// Mwacheni mtoto wa watu apumzike salama kilichomuua ni siri yake Mola. Cha muhimu wote tuwe tayari maana hatujui saa wala siku tuakayo kwenda. Kifo cha Amina kimetufundisha mengine na cha muhimu ni kwamaba haijalishi mkubwa au mdogo we are all born to die. R.I.P Amina

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 29, 2007

    Wee anony june 28 10:58, wenzio kama jambo hatujui tunanyamaza. Nani kakuambia kichwa, kisukari pekee kinaua, au usingizi unaua?. Ndio yale yale hakuna uchunguzi unafanywa kuelezea sababu za vifo.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 29, 2007

    Mungu akulaze pema peponi dada Amina, kwani nilitokea kukuadimaya sana lakini mapenzi ya Mungu yatimizwe.

    Ila ninachotaka kusema ni kwamba Shigongo, wakati mwingine uwe unaangalia magazeti na aina ya stori kwani kuna mambo ambayo yanaweza kusababisha watu kukuelewa vibaya, kwani Mpakanjia hakuna mambo mengi na yaajabu ambayo anafanya lakini hata siku moja sijawahi kukusikia ukiandika kwa mfululizo na kwa undani kama inavyokuwa kwa wanawake au wasichana.

    Shigongo ni wanawake wangapi bungeni ambao wanatembea na wabunge wenzao tena wazi kabisa lakini hata siku mmoja huangaiki nao?? ni vigogo wangapi ambao wanatembea na waandishi wa habari na kuwapanafasi katika mashirika mbalimbali ya Umma lakini sijakuona ukiandika??? Kuna ma PRO wengi ambao tunawafahamu na wanakula na viongozi lakini unajifanya huoni kwenye magazeti yako??? mfano mzuri ni DAWASCO na DAWASA ambapo maPRO wawili wanakula na kigogo mmoja katika ULE UTATU MTAKATIFU WA SERIKALI YETU, lakini hayo wala huoni ila kwa watu wanaochimbukia ndio unaona mambo yao!!!!! sasa ni wakati wa kutokuangalia nani ni nani katika magazeti yako!!!

    Lingine mchezo wa LIUMBA wa BOT kusambaza hako kangonjwa kama sifa sio vinzuri!!!

    Tena Lowassa kitendo cha kushindwa kujibu swali aliloulizwa na kupambana na madawa ya kulevyia baada ya kifo cha Amini na kutokutoa specific answer sijui anataka aeleweke vizu????

    Michuzi hii blog si yako ni wanaichi hivyo naomba usifanye editi hata kidogo!!!

    Jack

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...