Sasa Global iko mtandaoni, kwa wadau wa udaku bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Yaani gazeti la uwazi nalo ni sh.300/-,halafu eti wabongo wanalalamika maisha magumu,wakati vitu vya kipuuzi wanaweza afford
    DUME

    ReplyDelete
  2. Kwani aliyedhalilisha ni dada peke yake. Nadhani wote wakware wametembezwa uchi. Kwa hiyo siyo kwamba wamedhalilishwa kina mama tu, bali ni kina baba na mama!!

    Hii adabu ni nzuri sana kwa kukomesha ukware. Wewe umeoa au umeolewa, kwa nini uendekeze zinaa. HONGERA SANA aliyebuni adhabu hii. Nadhani adhabu hii itasaidia katika kupambana na uambukizi wa VIRUSI

    Najua wote mnaojifanya kutetea adhabu mnaogopa siku mkifumaniwa. Eti adhabu inawadhalilisha kina dada!! Na mwanamume aliyetembezwa uchi, siyo kudhalilishwa pia.

    ACHANI KUTETEA UDHAIFU WENU KWA MGONGO WA KUTETEA AKINA DADA. DAWA NI KUACHA UZINZI.

    ReplyDelete
  3. Huo ni ujinga tu, watu wanakula raha mnakwenda kuwadhalilsha, huu ni upumbavu wa mwafrika, just imagine angekuwa mama/baba yako antembezwa uchi, ungejisikiaje?, watu wakifumaniwa inabidi wapelekwe kwenye vyombo vya sheria, sidhani kama ni uungwana kumtembeza mtu mzima uchi mbele ya kadamnasi, shame on us (african.

    ReplyDelete
  4. Kama mwenzako hakuridhishi kwenye 18 unaenda kuchapwa au kuchapa nje, kwa hao jamaa nadhani hawakufanya kusa acha wapigane bakora.

    ReplyDelete
  5. Hao watu kwanza washukuru wapo Africa. Wazinzi Arab adhabu yao ni kupigwa mawe.

    Wamepewa adhabu ndogo

    ReplyDelete
  6. hao watu wawili weather wameoa au olewa, wana right na miili yao to do whatever pleases them behind closed doors. sioni sababu ya kuwatembeza uchi na kuwadhalilisha ikiwa ni consensual everything they were doing. its a shame vitu kama hivi bado vinaendelea karne hii ya 21.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...