brian, mdau wa milioni 2 ambaye amejishindia kitita cha $500 (kulia) akiwa na baba yake balozi richard mariki alipowatembelea huko houston, texas. shoto ni jesse, mdogo wake brian, na wa pili kulia ni walter kaka yao mkubwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. kaka michuzi brian ni wa kulia mwisho halafu wa kushoto kwake ni kaka yao mkubwa anaitwa walter na wa kushoto kabisa ni wa pili katika familia yao ambaye anaitwa jesse wakiwa na baba yao katikati kama ulivyosema wakiwa marekani. wao wote katika picha hiyo ni ndugu mmoja siyo rafiki naomba usahihishe kaka michuzi.
    ni mimi rafiki yao wa karibu
    NAZA.

    ReplyDelete
  2. wee NAZA acha zako...yaani jamaa kushinda hako ka $500 ndo sisi tusipumue humu ndani ya blog? hamjawai kushika PESOS zaidi ya hiyo nini? yaani hatupumui kisa brian kashinda hako ka $500. nitakuwa houston thanksgiving nikuonyeshe kwamba michuzi kumpa huyo brian $500 ni jambo la kawaida kabisa kwetu sisi ambao tupo kansas..
    kasera
    kansas city

    ReplyDelete
  3. Watoto wa vigogo tu wanashinda?

    ReplyDelete
  4. Ama Kweli "Ukubwa bunduki" na siku zote "aliye nacho huongezewa". Yaani Michuzi huwezi jua ni kiasi gani ungeokoa maisha yangu endapo ningeshinda hiyo dola 500!! Lakini huyu mtoto wa Balozi ataichezea tu, we si unaona kwanza kwa jeuri kamsusia mama yake!! Ok mungu atajalia tu, wala sijakata tamaa. Hongera sana Brian!!

    ReplyDelete
  5. "Lakini huyu mtoto wa Balozi ataichezea tu, we si unaona kwanza kwa jeuri kamsusia mama yake"

    You assume too much.

    ReplyDelete
  6. KAKA WALTER PUNGUZA McDONALDS KAKA,AU MUOMBE NDUGUYO AKUMEGEE HIYO DALA 500 UENDE GYM, UTAKUFA BADO MTOTO.

    ReplyDelete
  7. "KAKA WALTER PUNGUZA McDONALDS KAKA,AU MUOMBE NDUGUYO AKUMEGEE HIYO DALA 500 UENDE GYM, UTAKUFA BADO MTOTO."

    I'm literally laughing out loud(there's 3 things wrong with your comment) XD

    ReplyDelete
  8. Halafu wanaonekana wana mwogopa Baba yao, maana hizo pozi zinaoneysha walivyo stushwa na ujio wa baba yao TX, hii inaonyesha imepigwa kabla ya Baba yao kwenda kuchunguza kama wana piga kitabu kweli au wanatesa kwa party zisizo kwisha na kubeba box.

    ReplyDelete
  9. "Halafu wanaonekana wana mwogopa Baba yao, maana hizo pozi zinaoneysha walivyo stushwa na ujio wa baba yao TX, hii inaonyesha imepigwa kabla ya Baba yao kwenda kuchunguza kama wana piga kitabu kweli au wanatesa kwa party zisizo kwisha na kubeba box."

    Yes,we were completely oblivious to the coming of our father,seeing as how he just jumped out from behind a bush and yelled "Surprise!" right before the pic was taken :|

    "Kubeba box"?Yet another person who assumes a little too much ;)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...