waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa mh. bernard membe anamvisha beji yenye bendera ya taifa miss tz 2007 richa adhia ikiwa ni ishara ya baraka za serikali kwa mwakilishi wetu kwenye miss world huko sanya, china, hapo desemba 1 mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bwana Membe taratibu usije ukateleza ukashika kwingine..LOL

    ReplyDelete
  2. MUHESHIMIWA MIKONOZ!!!!!

    ReplyDelete
  3. U go girl !!!!
    nenda katuwakilishe
    achana na wabaguzi
    wengine tunakuunga mkono
    all the best

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...