mdau akishangaa kuona mlango wa kuingilia bustani ya mnazi mmoja gaden ukiwa umepigwa kufuli ati kwa sababu ukiachwa wazi wamatumbi tutachafua. wadau, hii imekaaje...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. michuzi naona swala hili umelishikia bango sio kitoto,nyie wamatumbi wachafu sana pamoja na hao watu wa halmashauri ya jiji,hapo labda usubiri mpaka CRDB wadhamini hivi hivi hawafungui hapo,jiji gani ambalo halmashauri ya jiji limelala usingizi huyo meya hajui hata wajibu wake,na mta kufa sana na kipindupindu.

    ReplyDelete
  2. WEWE ISSA HUYU DADA ULIMWOMBA UNYUMBA AKAKUNYIMA ? EBO...

    ReplyDelete
  3. hiyo ni sawa tu .Hii ni dunia ya tatu hata ustaarabu tuupate kwa njia ya msaada.Pakiachwa wazi watu wanaanza kujisaidia na vibaka kuramba watu roba.

    ReplyDelete
  4. kaka michuzi mimi ushidi nawapa mashetani wekundu magoli yatakua 2-1 .mail yangu ni ramabady@yahoo.com
    kwa maaan hiyo hadi kipenga cha mwisho MANUNITED 2 WASHIKA BUNDUKI 1

    ReplyDelete
  5. Kufunga kwa kufuri hapo ni utovu wa akili.

    ReplyDelete
  6. Maisha bongo tambarare....!

    ReplyDelete
  7. hiyo ni sawa na kufunga choo kwa sababu mtumuaji aliyepita hakuflash!!!...kufunga choo hakuzuii haja,sasa hawa wenzetu watueleze lile lengo la kuanzisha hii garden limekadiriwa vipi iwapo hii imefungwa?mimi naamini maamuzi haya yalifanywa na watu wasioheshimu historia ya jiji kwa vile hawaijui au wameisoma tu kwenye vitabu.kama tatizo ni umatumbi mbona kuna wamatumbi wengine wananunuliwa ndege,wengine wanafanyia mikutano kwenye 5 star hotels na hao wakija ndio garden inafunguliwa.hii ni kukosa heshima kwa wananchi.bustani ifunguliwe na halmashauri ya jiji ielewe kuwa kuweka bustani safi ni jukumu lake,hivyo basi waweke taratibu za kuhakikisha bustani inasafishwa.hata buckingham palace gardens zisiposafishwa zitakuwa chafu kama yetu sisi wamatumbi.bustani IFUNGULIWE.....zemarcopolo.

    ReplyDelete
  8. WE ANON WA PILI UNAMFANYA ISSA KAMA
    BABU YAKO EEH? KILA WAKATI UTANI
    TU.HAMNA CHA MAANA KAMA WALEVI WA
    KOMONI.WATU WENGINE HOVYO SANA
    MIMI MNANIUDHI NINGEKUWA ISSA WALA
    NISINGETOA HII,ILA MSHUKURU SANA
    MICHUZI SIO MTU WA KUBANIA COMMENTS
    HATA KAMA NI MBAYA KWAKE.

    ReplyDelete
  9. Kwani ni ulongo michuzi wamatumbi hatutachafua? Ingawa kuweka huo uzio ilikuw ani njia moja wapo ya kumpa mtoto wa shangazi tenda ili na yeye aishi mjini. zaidi ya hapo wangeweza kuweka polisi wa mgambo ili yoyote atayechafua apigwe faini halafu wasambaze mapipa ya kuweka taka. manake palipo na watu lazima taka zitakuwepo na kama hakuna sehemu ya kutupa taka basi watu watatupa chini tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...