ATTENTION EVERYONE
We have a new film club in Dar es Salaam. Movies are shown every Thursday at what used to be Smokies Tavern, from 08H00 onwards.
This Thursday at 8 in the evening and weather permitting we will be showing Robert Altman's anarchic comedy M.A.S.H.
Bring drinks, snacks, and friends along
Karibuni wote....
Nassos
Jameeni, hiyo 'portry' club ni ya vyungu (pottery), bandarini (portry) au mshairi (poetry)???!!
ReplyDeletehttp://www.raiamwema.co.tz/
ReplyDeleteHawa wazungu wajinga sana wanadhania watawadanganya watanzania kama walivyofanya kule Zimbabwe mpaka wakatimuliwa. kwanza sio wote wenye vibari vya kazi maana hata mkwe wao wamemlete hapa Dar na ameingia kwa gia ya NGO kisha kaenda kuajiliwa Arusha yeye na mkewe sijui hawa jamaa wa uhamiaji kama wapo.
ReplyDeleteTuache kuwa uchocholo wa kupandiwa mgingi na hawa wazungu, wezi sana wanjifanya Ngo huku wanachota mamilion yaliyopaswa kwenda kwa watanzania AIBUUUUUU kweli amkeni wa TZ acha kilala usingizi.
Ila lawama kubwa wabebeb watu wa Uhamiaji hawafuatilia chochote wapo wapo tu wasafiri waende ulaya wakajifunze wenzao wanavyobana wageni na wanavyotembelea makampuni mbaqlimbali kukagua.