Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hehe! Hapo umetereza kidogo "The Onion" ni gazeti la utani ambalo ninaandika habari feki tu. Zaidi hapa http://en.wikipedia.org/wiki/The_Onion

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Picha nzuri sana hiyo, nimeipenda. Je, hapo ni pale Magogoni kwenye ule mnara wa kuongozea meli?!..

    SteveD.

    ReplyDelete
  3. hapana shaka ni mnara wa kuongozea meli hapo bongo

    ReplyDelete
  4. Sasa Dollongo charles steven unauliza jibu - Mbunge mtarajiwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...