jengo gani hilina liko wapi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. wizara ya ardhi, kivukoni near ofisi ya rais utumishi...IT LOOKS LIKE WACHINA HAWA SIYO WALE WA SAM NUJOMA ROAD!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Hapo ni jengo jipya la Presidents Office - Public Service Management

    ReplyDelete
  3. Tamisemi ! kwa Bi.Hawa Ghasia

    ReplyDelete
  4. michu nawee!
    kitu cha posta kabisa unatuuliza!
    au unawauliza wabeba maboksi?
    man international house hapa.

    ReplyDelete
  5. Hilo ni jengo jipya la ILO (International Labour Organisation) lilifunguliwa na Mh. Rais hivi karibuni. Jengo hilo limejengwa pale lilipokuwa jengo la TSN (Daily News) zamani, mtaa wa Azikiwe.

    Nipe zawadi yangu.

    ReplyDelete
  6. NEW Impala Hotel (NAURA) - ARUSHAAAAA

    ReplyDelete
  7. ni la utumishi, pembeni ya wizara ya ardhi. litakuwa la ICT

    ReplyDelete
  8. Ni nyumna yangu ambayo namjengea mwanangu wa tatu, iko segerea nyuma ya gereza upande wa kushoto karibu kabisa na kiwanja cha mahita, watu wengi mtakuwa hamjaiona kwani ni nje kidogo ya mji

    ReplyDelete
  9. nipe zawadi yangu, hili ni jengo la kale bwagamoyo

    ReplyDelete
  10. Mimi sina jibu. Nina swali tu: hizo rangi za bluu kali ni za jengo real au ni za picha.

    ReplyDelete
  11. Simpo... bongo hapo

    ReplyDelete
  12. hiyo ni WIZARA YA JINSIA ,MAENDELEO YA WANAWAKE NA NA WATOTO NA JAMII IPO KIVUKONI PEMBENI YA JENGO LA WIZARA YA ARDHI

    ReplyDelete
  13. hapo ni ughaibuni UK..karibu sana na HEATHROW airport

    ReplyDelete
  14. Kaka Misosi bwana! hili jengo liko katika kitongoji cha Bukome katika kijiji cha Ijitu Magu Mwanza liko njiani ukiwa unaelekea pale kwenye gulio la kisasa kabisa. tena nilipita pale karibuni nikakuta linakaribia kwisha. Mambo ya sangara hayo. watu wasihangaike kufikiria pengine liko majuu kumbe ni hapa hapa kwa JK.

    Bukalasa

    ReplyDelete
  15. NIMEFURAHI SANA KWAMBA WATU WENGI MMECHANGIA KWENYE MADA HII. NILIMPA MICHUZI PICHA HII ILI AONE KAMA WABONGO WANAJUA KWAMBA KUNA WABONGO WAKALI WANAOANGUSHA VIBIRITI KAMA HIVI KWA AJILI YA KUISHI NA FAMILIA ZAO.
    HII KWA TAARIFA YENU NI MOJA KATI YA VITALU (GHOROFA) VYANGU VINAVYOSHAMIRI HAPA DAR. NIMEMJENGEA MY MAMA MKWE WANGU NA WATOTO WAKE WAISHI HAPO. KALETA UKOO MZIMA KUTOKA KWAO.

    ReplyDelete
  16. JENGO LA Mr BLUU..KILA KITU NI BLUU BLUU TU @#$%&*DAM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...