msanii ras jikho man akiwa na kundi lake wakila tizi leo kabla ya kufunguliwa rasmi kwa tamasha la sanaa katika chuo cha sanaa bagamoyo kesho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jhikoman ni mwanamuziki mahiri sana wa Reggae,kiwango cha muziki wake ni wa kimataifa kabisa.Ana vionjo ambavyo vinatofautisha na Reggae zingine.Ni muda tu anasubiri ili haweze kutambulika zaidi ulimwenguni,na kuzidi kuuza kazi zake nyingi zaidi.Shoo zake za Finland,Sweden,Norway zilifana sana.Endeleza kazi nzuri ya upigaji wako wa muziki.Unaweza kusikiliza baadhi ya kazi zake kwa kwenda 'my space' na andika'Jhikoman,basi itakuongoza hadi kwenye ukurasa wake.

    ReplyDelete
  2. Jhiko analazimisha fani,hebu sikiliza muziki wake au tazama video zake uone kama zitakuvutia! ni muziki usioeleweka makelele tu na kurukaruka ndio kumetawala lakini hakuna taste wala rhymes!

    Inawezekana akawa mwanamuziki mzuri ila reggae inamshinda mi namshauri ajaribu kupiga na vionjo vingine kama dansi, bongo fleva. Roots reggae sio mchezo inataka kichwa chenye utulivu na ubunifu mkubwa ndio maana wengi wanakimbilia kwenye ragga.

    ReplyDelete
  3. Wewe annoy wa hapo juu unayemponda Jhikoman,unajua muziki au unaongea tu?Labda kwako ni makelele lakini muziki wa Jhikoman ni mzuri.Asingepata mialiko mingi ya kimataifa kutoka kwa watu wanaojua muziki,kama Jhiko angekuwa anapiga makelele.WaBongo huwawezi kwa roho ya kwa nini.Acha kuponda pasipo na sababu ya msingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...