Mpendwa wetu Ndala Kasheba.


Sekunde, saa, siku, juma na miezi imekatika na sasa leo imetimia miaka mitatu kamili tangu umetutoka. Hakika umetuachia huzuni na pengo kubwa hasa mimi mkeo, watoto pamoja na wapenzi wako wote wa muziki. Bado tulikuwa tunakuhitaji na kukupenda, ila Mungu alikupenda zaidi, na yeye hana makosa. Pengo uloliacha ni kubwa na kamwe halitozibika milele.
Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi - Amin.


ni mimi mkeo

Ashura Kasheba

London


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Namkumbuka sana kwa umahiri wake wa kupiga ilo gitaa lake.

    Pia nyimbo zenye ujumbe mfano ule wimbo wake wa *YELLOW CARD*

    Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahali pema,peponi.Amina

    ReplyDelete
  2. Ashura pole sana mwanakwetu, kumbe ule wimbo wa 'Ashura ...wazazi wako Sumbawanga' alikuimba wewe dada!
    Mie ni mpenzi wa muziki wake sana.
    nakutakia maisha mema Ashura!

    ReplyDelete
  3. Former Mozambique President Joaquim Chissano has won the first Mo Ibrahim prize rewarding a retired African head of state for excellence in leadership.
    Mr Chissano, who is credited with bringing peace to Mozambique, had been seen as a frontrunner for the prize.

    The prize, announced by former UN head Kofi Annan, is worth $5m (£2.5m) over 10 years, and then $200,000 a year.

    Mobile phone millionaire Mo Ibrahim is funding the project in the hope it will help improve governments' performance.

    Mr Chissano brought Mozambique from a murderous civil war to peace and progress during his 19 years in office.

    Hawa viongozi wetu wa tz wala rushwa watapata tuzo hiziiiii???

    ReplyDelete
  4. Safi sana shemeji Ashura, mumeo huyo.........
    "Ashura Kasheba, Kasheba Ashura"...

    ReplyDelete
  5. Kunradhini, natoka nje ya msitari kidogo kuwapasha habari hizi mbili:

    Kuna habari nzuri mbili:

    Mozambique's former president wins prize

    Associated Press - LONDON -

    Mozambique's former President Joaquim Chissano, who brought peace and democracy to his country, won the first Mo Ibrahim Prize on Monday for achievement in African leadership.

    Kwa habari zaidi, fungua: http://news.yahoo.com/i/723;_ylt=AluaKxZ1l5..cWEIEp1sEsMUewgF
    ______________________________________________________________________

    Home-made helicopters hit northern Nigeria

    by Aminu Abubakar Sun Oct 21, 6:43 PM ET

    KANO (AFP) - Mubarak Muhammad Abdullahi, a 24-year-old physics undergraduate in northern Nigeria, takes old cars and motorbikes to pieces in the back yard at home and builds his own helicopters from the parts.

    "It took me eight months to build this one," he said, sweat pouring from his forehead as he filled the radiator of the banana yellow four-seater which he now parks in the grounds of his university.

    For more info: http://news.yahoo.com/s/afp/20071021/lf_afp/nigeriahelicopteroffbeat;_ylt=AjIF7_pLFa64dgiftm_9N_e96Q8F

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...