madafu yameendela kuwa ngagrai mbele ya pesa leo..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Asante kwa taarifa lakini jamaa wa wafanye mpango wa kutafuta bango jipya au duster inayofuta vizuri hapo hata "tarehe" haisomeki vizuri..Bongo bwana!

    ReplyDelete
  2. Shukrani bwana Michuzi

    Mimi kitu kimoja nashindwa kuelewa ni hawa wafanyabiashara wa fedha wanavyopanga bei. Ukiangalia Website ya BOT, USD iko dhaifu kwa Canadian Dollar, lakini kwenye manunuzi hapo naona Canadian Dollar ni Tshs 1000 wakati wewe ukiihitaji toka burea ni Tshs 1280, hii spread ya Tshs 280 ni kubwa sana ukilingalisha ni USD ambayo unauza kwa Tzs 1115 dhidi ya Tzs 1156 kama ukitaka kununua kutoka bureau, spread hapa ni Tshs 45 ambayo ni reasonable kabisa. Kwa kawaida spread huwa ni kati ya Tshs 20 hadi 70, ikizidi hapo kuna tatizo.

    Na sio BOT tu wanaonyesha USD iko chini dhidi ya Canadian dollar, mabeni mengi ya nje pia yanaonyesha hivyo. Kweli kuna tatizo hapa maana hiyo Tshs 1000 kwa Canadian dollar naiona tangu miezi kadhaa. Si ajabu ukifika kule wakakwambia hawanunui Canadian Dollar. LOL

    NB- Spread ni tofauti kati ya bei ya kunua na kuuza.

    Sele.

    ReplyDelete
  3. Hizo bureau de change za bongo wezi.Hela ya Canada na ya marekani hivi sasa ni ngoma droo au mara nyingi ya canada kuwa juu kwa vijisenti..waambie waende na wakati

    ReplyDelete
  4. Sio kwamba madafu yanakuwa ngangari
    ni kwamba dola inashuka thamani against currencies zingine.

    ReplyDelete
  5. jamani ngoja niwepeni update
    hela ya hapa Canada kwa sasa hivi ni kubwa kuliko ya Marekani kwa senti kadhaa.
    mimi ndiyo nashangaa sana kuona bongo ndiyo hawajui hiyo bado
    mabenki na bureau de change wanakiwa kwenda na wakati
    huo ni wizi

    mdau
    Canada

    ReplyDelete
  6. Hapa kinachofanyika ni jamaa wa BOT wameziachia USD kwa wingi. madhara yake ni kwamba zitanunuliwa zote very soon na wajanja ambao wataenda ku invest abroad na kuacha vacuum ya USD in Tz. Hii inatokana na ukweli kuwa TZ hatuuzi bidhaa nje na kupata USD badala yake tunaruhusu wafanyabiashara wachukue dolar na kuagiza nje.

    Madhara yake: Baada ya miezi michache Demand ya USD itakuwa juu na kupandisha price ya 1 usd per Tshs. Hivyo huu ni wakati muafaka wa kununua Dolar kwa wingi na kuzichimbia after few months uuze kwa bei nzuri. Natabiri miezi sita ijayo exchange rate itakuwa Tsh1700/1 USD. yaani dola 1 = Tshs 1700.

    Kama una USD zako kwa sasa uchune tu utanunua baadae bei ikipanda. haya ni maamuzi ya kisiasa zaidi kuliko hali halisi ya uchumi hivyo kulingana na hali ya uchumi wetu very soon dolar itapanda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...