Maendeleo ya mwakilishi wa bongo Angel Kileo ni mazuri na amepewa nafasi kubwa na wataalam ya kuwania taji. Tovuti moja la masuala la urembo (GrandSlam Beauties)imemweka Angel katika Top 20 kama mwafrika pekee. http://www.grandslambeauties.org/me07/me2007-hotpicks.htm

Nchi za Afrika zinazoshiriki katika Miss Earth ni Botswana, Congo, Ethiopia, Ghana, Kenya, Liberia, Nigeria, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Uganda na Zimbabwe. Nchi zingine za kiafrika ambazo ziliahidi kutuma warembo na ambao hawajafika ni Tunisia, Zambia na Cameroon.

Pia waandaji wa Miss Earth wametangaza kuanzishwa kwa tuzo la "Beauty for a Cause" ambalo latatunukiwa mrembo ambaye amefanya kazi nzuri ya kijamii ya kusaidia kuokoa mazingira. Angel Kileo amefanya kazi kubwa ya kupandikiza mikoko (mangrove tree) ufukweni mwa bahari huko Ununio. Kutoka bara la Africa warembo waliofanya kazi ya mazingira zaidi ya Angel Kileo ni mrembo wa Botswana na Afrika Kusini. Angel Kileo pia atashiriki katika mashindano ya vipaji (talent

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hivi siku hizi watu amuendi shule ni urembo tuuuu hakuna fani nyingine ndio maana ukimwi unazidi endelea bongo

    ReplyDelete
  2. Bwana Mzee.
    Ingawa sisi haturuhusiwi kutamani wala kuoa, lakini huo MTUNO-Kisambusa hapo mbele umenipa hamu kwelikweli!
    Michuzi. Usitutie katika Vishawishi bali utuokoe yule mwovu..!

    ReplyDelete
  3. Bora hata hao warembo wanapata kitu cha kujishughulisha na jamii kuliko wanaao jidai wanaseoma halafu wantoka wakavu? wakati mwingine kusoma sana si kufanikiwa kimaisha. Na ukimwi hauhitaji urembo. Je wewe uliyesoma umepima? tuwa support watanzania wenzetu wote wanao fanya jitihada za kuitangaza nchi yetu kama tusilale kama ninanihii ambayo ina amka katika usingizi wake wa pono kwa kasi awamu hii

    ReplyDelete
  4. Baba paroko kwenye chumba cha kitubio kondoo waliopotea wana usalama kweli?

    ReplyDelete
  5. DU! Kusema kweli hicho KISAMBUSA si cha kawaida! Utafikiri Pumb**. Hapo ni kishawishi kweli hata majaji lazima udenda uwatoke.

    ReplyDelete
  6. Aah wapi kondoo hana usalama kabisa kwa baba paroko.Utani mbali,napenda kutoa pongezi nyingi kwa msichana Angel kwa mafanikio yake,kila la heri.Ni msichana mzuri sana.Go Angel dear!!

    ReplyDelete
  7. KUSEMA KWELI HUYU DADA AMEVIMBA SAFI SANA HAPO MBELE...MIMI SIO MTAALAM WA MAMBO YA UWANI MIMI KIBARAZANI BWANA...DADA CHUPI IMEKUPENDEZA SANA...HONGERA ZAKO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...