miss tz 2007 richa adhia mchana wa leo ameagwa rasmi siku moja kabla hajaelekea sanya, china, kuiwakilisha nchi kwenye fainali za miss world kwenye hafla ilofanyika kituo cha uwekezaji na kuhudhuriwa na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, mh. bernard membe.
akiongea kwenye hafla hiyo mrembo huyo amesema amejiandaa vya kutosha baada ya kupewa mafunzo mbalimbali, na amewataka wabongo wamuombee dua njema kwenye kinyang'anyiro hicho.
amewashukuru wadau mbalimbali waliomsaidia kwenye maandalizi ikiwa ni pamoja na wazazi wake na wadogo zake, dk. ramesh shah ambaye ni mshauri mkuu wa kamati ya miss tz, waandishi wa habari na wananchi wote kwa jumla pamoja na mbunifu mustafa hassanali ambaye amesema ndiye aliyemtayarishia nguo za wakati wa shindano la miss tz na pia atazovaa huko china.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Uyu binti sio mzuri na wala sio mbaya sema rangi yake nyeupe ndio inaridhisha.Lundenga weee naona umeamua kutubadilishia ngozi nyeusi Tanzania na kutupelekea ngozi nyeupe anaweza akashinda ila kama atashinda atajidai sana na kusema kumbe wahindi ni wazuri.Na nakwambia akishindwa midomo ya wa tz si unaijua utakuwa hupiti njiani na gari lako kila mtu atakunyooshea kidole.Sio ubaguzi bali ni hali halisi.iliyopo .

    ReplyDelete
  2. I can't wait to see hivyo viwalo. Kazitengeneza Hassanal!!!! Ndio ni mbunifu mashuhuri lakini asili yake muhindi, mshindi wetu asili yake Muhindi...mbona kazi!!!!!!

    Good Lucky

    ReplyDelete
  3. Cute green eyes, nampenda sana huyu binti, njoo kwetu Zanzibar

    ReplyDelete
  4. bado mnamuonea njindi mpaka leo?

    ReplyDelete
  5. Nenda kaipeperushe bendera yetu dada yangu, onyesha ulimwengu jinsi watanzania tulivyopiga hatua katika swala la ubaguzi wa rangi, hayo mengine ni siri kubwa ya nyumbani kwetu.
    Nakutakia kila la kheri katika kuiwakilisha nchi yako.

    ReplyDelete
  6. Kawaonyeshe hatuna ubaguzi hadi tunaacha ndugu zetu wanaonewa na kina barrick na sisi tumeng`aa macho tu......

    ReplyDelete
  7. KWA UJUMLA RICHA!! JITAHIDI KUSAHAU YALIYOPITA!! WALE WALIOKUWA WANAKUPINGA CHUKUA KAMA NI CHANGAMOTO KWAKO NA JITAHIDI KU-PROVE KWAMBA TANZANIA HAKUNA UBAGUZI NA KAPEPERUSHE BENDERA IPASAVYO.

    KUMBUKA: NCHI JIRANI NA WALE WASOMA BLOG NA NEWS FROM INTERNET WALISIKIA MALUMBANO YA KUTOKUBALIKA KWAKO NA WATANZANIA WACHACHE NI MAMBO AMBAYO UNAPASWA KUJUA UTAJIBU NINI KATIKA MASHINDANO HAYO PINDI WATAKAVYOKUULIZA : HOW IS TANZANIA? NA WEWE USEME VERY BEAUTFUL CHINI NO UBAGUZI... HAPO KUWA MUANGALIFU

    KILA LA KHER! TUSAMEHE ILIKUWA CHANGAMOTO KWANI TULIJUA HUWATAWEZA KUTOLEWA KWA AJILI YA MIDOMO YETU. "WEWE NI MISS TANZANIA 2007!!!" HUREEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!

    ReplyDelete
  8. MICHUZI THIS IS SO FUN MUHINDI ANAENDA CHINA KUIWAKILISHA TANZANIA? NASUBIRI MATOKEO KWA HAMU SANA. KWELI SAA YA UKOMBOZI NI SASA KAMA ALIVYOSEMA MTIKILA.

    ReplyDelete
  9. JAMANI KA-CHICK IS CUTE,MPENDE MSIPENDE U BLACK GIRLS U CANT BEAT INDIANS IN TERMS OF BEAUTY,
    GO GIRL...
    tupo nyuma yako
    wengine mlie tu

    ReplyDelete
  10. Anon wa Tarehe Wednesday, October 31, 2007 12:08:00
    Umesema kweli "Mengine ni siri yetu ya Nyumbani"
    Dadaa kila la kheri ndio ishakuwa tena na mi ni Mtanzania mzaliwa wa Congo ipo siku nitakataliwa tuu...hahahah. Michuzi utanitetea

    ReplyDelete
  11. Hivi jamani si mnakumbuka mi nilimuombaga huyu kama nana Rafiki yake au mdogo wake wa kike aniunganishie mimi ninahitaji gel frend mwenye asili ya kiasia?
    Mbona hajanijibu mpaka leo?
    Si zalau hii? Si Zalau????

    ReplyDelete
  12. All the best, ila hizo nguo by Mustafa Hassanali?? Yule anashona mashuka na mashela sio nguo zile. Anyway, tusubiri tuone.

    ReplyDelete
  13. "Ka-chick is cute" we anonymous wa Wed 31 Oct,1:17 EAT.Unaongea nini?? Eti black girls hawawezi kuwashinda waHindi kwa uzuri?!Kwanza beauty is in the eye of the beholder!Huo uzuri wa kihindi unauona wewe na sisi tunaona ule wa weusi,ok?Peleka hizo huko udosini hapa usituletee kashfa za kipuuzi.Kumbuka kuwa walio wengi Tanzania ni hao hao blacks unao wakashifu!!!!

    ReplyDelete
  14. Na'muunga mkono kwa dhati anonymous wa Wed 31 Oct,9:58 EAT.Ni kweli kabisa kuwa tunakazana kuonyesha hatuna ubaguzi huku ndugu zetu wamedhurika huko Barrick,wafanyakazi 900 jamani!!Ni nini hatima ya hawa ndugu na familia zao??Hayo hatuyajali aaah.. twamfagilia Richa tu na jumuiya yake.Inasikitisha!

    ReplyDelete
  15. Siyo nguo za Mustafa! Na aje aseme za kwake!

    ReplyDelete
  16. weee mangaaa unayesema wahindi wametuzidi uzuri wacha kabisa kusema hayo maneno cz watakucheka watuuuu! hao washenzi wamejaa chawa unasema wazuri,he he hee pole zako kijana! KUMBUKA BLACK IS BEATY,shenzy kabisa wee!

    ReplyDelete
  17. Anonymous wa Wed,31 Oct,2007.1:17EAT.Tanzania ni ya Blacks na machotara wenye asili ya kiTanzania.Kusema "you black girls can't beat Indians in terms of beauty" ni upuuzi na uupeleke hukohuko!Ni kama kusema kuwa wadosi pia ni waTanzania asilia!Toka lini????!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...