richard na mai waifu wake rikki. mambo yakienda mswano wapendanao hawa huenda wakawa pamoja bada ya wiki hii ambapo mchezo wa big brother africa II uitafikia tamati. shime shime mdau usiache kumpigia richard kura ashinde kwa kubofya linki hiyo hapo chini. wenzetu wa angola wamegangamala kumpigia tatiana na nigeria wanampa shavu offuneka. fanyeni hima tuwapige bao la kisigino...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. MDAU WA NAIJERIA NAOMBA TUWASILIANE.

    onyawa@gmail.com

    ReplyDelete
  3. we anon uliyetuma ujumbe wa onyawa, acha kudanganya wadanganyika uwaibie pesa zao, hakuna kitu kama hicho kwa big brother africa 2 enyi wadanganyika wenzangu, hata kama tunaonekana tuna ushabiki na uzalendo wa hali ya juu kutaka rich ashinde lakini sio kwa njia hii.........tumechoka kudanganyika jamani.......hizi ndio fraud zenyewe lol!

    ReplyDelete
  4. wewe mnaijeria halafu unatuzuga unatupendaaaaaaa!hiyo ndio dalili za wanaijeria mbona mnapenda sana utapeli ninyi watu?hivi hamuwezi kufanya kazi?uiiiiizi tu!kwa nini lakini jamani?si mfanye kazi?eti tuchange ili tuibe, kwanza mimi siamini katika uizi sasa wewe leo unataka si wala niibe, eti nikupe wewe hela ili wewe ukaniibie!mbona mna roho mbaya hivyo!!!!

    ReplyDelete
  5. jinga kweli weeee, labda uongee na michu tujue kama kweli wewe mnaijeria leo umekuwa mwema namna hiyo, yaani jamani nyie wanaigeria kwa uizi mmezidi sasa,waibieni wajingawajinga sio sisi wajanja wa kiTZ

    ReplyDelete
  6. Anon wa November 1, 2007 11:47:00 of course wakati naandika huu mkakati nilijua atatokea mtu kama wewe ambaye unafikiri kila mtu ni mwizi.

    Labda fafanua utapeli uko wapi? Je unadhani huu mpango hauwezekani kutimizwa? Think again my friend. Inawezekana una exposure ndogo.

    Au je una wasi wasi na tabia (character) yangu? Labda unafikiri nitakusanya pesa na kuingia mitini.

    Wrong you are again my friend. I am for real my friend.

    Kama uko Bongo niandikie e-mail nikupe appointment. Nitakukaribisha ofisini kwangu uongee hata na wafanyakazi wenzangu wakutoe dukuduku kama unadhani mimi ni tapeli fulani.

    Kwa wale wenye mitazamo chanya naomba tukaze buti na tuchangie ushindi wa Richard. Nimegundua wanaijeria nao wamesuka mpango wa kufoji kura ili nchi nyingi zionekane zimempigia Offu. Hata hivyo mpango wao hauko makini kama huu wa kwetu.

    Mdau yeyote mwenye wasi wasi kuwa atatapeliwa naomba aulize swali lake hapa. Na maswali ambayo yanahitaji personal details nitayajibu kwa e-mail.

    All in all kama nilivyosema zoezi lote litakwenda kwa uwazi wa 100%

    Nawahimiza tena tuchange kijana wetu achukue ushindi.

    onyawa@gmail.com

    ReplyDelete
  7. hakuna haja ya kukutana na wewe onyawa mwizi mkubwa, tena nadhani unatumia juju!unataka ukutane nami ili ukombe kirahisi vijisenti vilivyo kwenye account yangu ambavyo nimevipata kwa kazi ngumu ya uvuvi!koma kabisa mfyuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  8. Onyawa if you real care that much kwanini usitoe hela zako halafu rich akiwin anakukatia kitu kidogo? Hao wamebaki watatu wa nchi tatu sasa kama mtu ni mzuri hata nchi zingine watampigia kura tu ukiondoa angola na Nigeria. sasa kama ushindi ni wetu au anastahili kushinda basi atashinda hayo mambo ya corruption sio mazuri. Na who knows kuwa hao maagent wako watapiga hizo simu?

    Hebu usitudanganye na office is not a big deal. Nionyeshe bank account yako una asset gani? vitu kama hivyo vitanionyesha hutakua na haja ya kuiba ka dollar 2500 lakini office tu...mh...wengi wanafanya kazi kwa office nzuri lakini bank hawana hata cent..Sasa ukitufundisha 419 scams hatutaki

    ReplyDelete
  9. uncle michuzi vipi huyo mshindani wa big brother kutoka bongo?maana story huku marekani kwenye vyombo vya habari vinasema alimbaka mshindani mwenzake(mnigeria) kwenye live televised show

    ReplyDelete
  10. Jamani hiyo barua iliyowekwa hapo juu kutoka kwa mkeo ni ya uongo kabisa. Kama Ricki ameamua kurudi na kumsubiri kwa nini amharibie, Ricki kwa kila hali aliyonayo bado anataka mumewe ashinde, kwa hiyo na sisi tuombe ushindi mengine tuwaachie wao wenyewe kwani kushinda na kurudi kwa mkeo ndio tarajio kubwa la Richard pia. Tusihukumu tuu kwa kusikia maneno na yasiyotuhusu. Tushikamane watanzania huo ndio muda wenyewe, unaweza kupiga kura pia kwa kutuma meseji andika VOTE RICHARD kwenda 15726 ni 600TSH only na unaweza kupiga kura nyingi mno. Kwa mnaopata shida kupiga kura kwenye website unatakiwa kujiunga na web kwa kujiregister then unapopiga kura unasign in kama kwenye email ya kawaida! HATA MIE NI MWANAMKE WA KITANZANIA NA INAUMA SANA KUONA ALICHIKIFANYA RIHARD, lakini sidhani kama kuna haja ya kumsimnga mkeo kwa kuwa ni mzungu wa ngozi nyeupe hata watanzania wengi wameolewa majuu na wamechukue wanaume wa kule walipo ya nini yote haya dunia ni mmoja tumeamua kusafiri na kutafuta mazuri tuwe na upendo na si kashfa za ukabila mwishowe tutaanza kugobana na nani kaolewa na mchaga na si mchaga au mrangi......Kila la kheri WATANZANIA

    ReplyDelete
  11. aliyebakwa labda kajibakisha.Nani akambake mnigeria,hawatamanishi mbona wadada wa west.Tumpigie kura richard

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...