fainali za kucheza sebene kwenye tamasha la michezo ya vyuo lilishuhudia wadau hawa wawili wakichuana vikali na mwenye kifua wazi kuibuka mshindi. majaji walikuwa wan ngwasuma na watazamaji wote na jamaa alistahili maana alikuwa anavinyonga si haba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyo aliyevaa kisingilandi(A-shirts) alishindwa sababu alivaa njumu.Njumu na muziki wapi na wapi.

    ReplyDelete
  2. ''WAZIMU WANGU UKINIPANDA HATA NGUO NTAVUA, VUAAAAAAAAAAA!!! MAMBO HAYOOOOOOOOO!!!!!
    NS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...