hawa ni baadhi ya wanafunzi wa tsj wa 1994-96 ambao darasa lao la diploma ya uandishi wa habari ndilo lililokuwa la mwisho kabla chuo kuhamishiwa kijitonyama kutoka ilala shariff shamba. waliosimama toka kushoto ni bakari mkhondo ambaye yupo uhuru na mzalendo, hanna maige (rtd) munde mirambo (yuko london), carol bennet (sina uhakika aliko), amabilis batamula (femina), bahati iddi nzimano (dada wa tabora asiye na mikono alikuja kutembelea chuo), fatma msiyu (sina uhakika aliko) farida kipingu 'mnyarugusu' (yupo dar), nelly mtema (daily news), saida msumi (channel 10) mwajuma (msaidizi wa bahati), kohiya kibanga (yupo dar).
chini toka shoto: semkae kilonzo (karudi bongo majuzi), esther banda (yuko kwao zambia), mdau (anabangaiza dar) na asha muhaji (posta, dar). mchakato unafanyika alumni hii na zinginezo za chuo hicho kukutana pamoja siku za karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Naona Mdau enzi hizo mikonozz ilikuwa hakuna japo umezungukwa na bintizz bomba.

    Hiyo rtd ni retired au ni Radio Tanzania - Dar?

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Asha Muhaji is my former school mate of Jangwani, we used to hang out 2gether, Unaposema yuko Posta una maana anafanyia shirika la Posta au? Namtafuta sana. Asha nicheki kwa hii email please kama ukisoma blog hii, Au Michu tafadhali mpe Asha email yangu tabunot@yahoo.com.

    ReplyDelete
  3. Duh Michuzi noma sana..sasa wengine unawapiga tuu .."yupo Dar" yaani wapo wapo tu au? Naomba kuuliza, manake wengine uwapiga wapo Daily News, Uhuru na RTD

    ReplyDelete
  4. Hi Michuzi aaa picha imenikumbusha mbali sana 2 people are missing Petty na Chahali siwaoni! mdau Ohio

    ReplyDelete
  5. Semkae,
    Kumbe utapeli/Usanii ulianza zamani..angalia hayo macho..!! Du..umetoka mbali kijana...!! Kaka michu nawe umetoka mbali pia....!! Haya Semkae..binamu hapa..USA-CA utajaza kwenye mabox yako...ha ha ha...!!

    ReplyDelete
  6. Bro Michuzi, siwaoni Mama H na Marehemu Kikuzi hapo! Nakumbuka mlikuwa nao.

    ReplyDelete
  7. du kumbe munde si mdogo ehhe
    michuzi petty msechu yuko wapi siku hizi she was ma sister's best mate

    ReplyDelete
  8. Michuzi mbona simuoni na Hariet Kiama?hamkuwa naye pamoja?

    ReplyDelete
  9. Semkae Semkae uoe sasa umri unakwenda kaka hawaishi hao ohoooo, mtoto wako kakua huku. hahaha sijui unamkumbuka maana duh...
    Mdau UK jirani yako utanikumbuka.

    ReplyDelete
  10. majina mengine umechapia,koiya umeandika kohiya.hivi huyu koiya kibanga siana ulaji ikulu? atutafutie nafasi kwa jk!

    ReplyDelete
  11. Semkae baba nilikuwa nakutafuta,......mwanetu ana miaka tisa sasa......chereko chereko...uko wapi nilete mjukuu wa Prof......yerewiiiiiiiiiiiii.....
    Umerudi lini....Michuzi jamani....

    asante sana kwa kunionyesha DNA ya mwanangu iko karibu na mie.
    "YOU ARE THE FATHER".What's your number?
    Just playing.....gotcha!!!!Neighbour

    ReplyDelete
  12. michuzi we ni noma!!!!!!!!!unaweza kunipatia namba za kila mmojawapo ? hususa kipenzi changu koiya ni muuliza habari za mtoto wangu na yupo ofisi gani. fanya hima kaka nikapime DNA.

    ReplyDelete
  13. Kaka michu umenikumbusha mbali sana... huyo semkae enzi zile alikuwa sooo sana.. alikuwa anawachanganya farida na munde! hahaha! kama kuwa na watoto atakuwa nao nje kibao tu..... kaka michuzi ebu niambie jamaa yuko bongo wapi na anafanya nini... nimtafute.

    ReplyDelete
  14. Michu Carol Benet yupo Dar kwa sasa baada ya kuishi Geita na mumewe Eng Paul Mndeme ambae anafanya kazi TRA HQ.

    ReplyDelete
  15. Kweli watu wanatoka mbali... yani semkae ulisomaga diploma now una PhD! respect ndugu yangu..

    ReplyDelete
  16. We Kilonzo hebu nenda kamalizie kimeo chako cha PHD ulidhani mchezo!!! hiyo wanayosema hap-a labda ya Ukware, maana we ndio Mpare hasa. lol... Mkwe hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...