mdau kwame mchauru alikuwa bagamoyo majuzi na katuletea ujumbe huu


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hizo ndo nyumba za wazaramo na wakwere,wanakimbia umande halafu ufukunyuku mwingiiiiii.ukila wali jirani yako ananuna
    kaazi kwelikweli
    LaLu

    ReplyDelete
  2. Nyumbani kwetu tulikua tunayo inapicha ya monkey inayosema UNAYOYAONA, UNAYOYASIKIA na UNAYOYAONGEA uyaachie humu humu ndani....watu macho yalikaua yanatoka.....tetetettteee

    Bongo usipowapa watu warning hawakawiii wakitoka tu nje...ya mlango wanaanza

    ReplyDelete
  3. Michuzi nimeingia kwenye site moja umeitangaza humu...jina nalihifadhi lakini nadhani umeshajua nazungumzia nani? Au bado watu hawajakutocha? Duh mwambie huyo mtu achukue muda kucheki spellings…locate ameandika licate na pia gramma nyingine...bomu sana ...kama angetakiwa aandike located au current yeye amesema licate and currently....Hayo ni machache tu nimeyaona kwenye home page sasa nikiingia zaidi kwenye site yake itakuaje? Kama biashara una target hawa watu wa kuja….mweeeee makosa ya kiulaini yawe kitu cha mwisho…wao bora wampe mtu hela nyini lakini quality iwe nzuri. Sasa wakishaanza kuona vimakosa makosa vya kijinga ndio mwanzo wa kufunga bishara. Kama kidhungu hakipandi basi kiswahili lugha yetu ina ladha na sifa tele sio vibaya kuitumia wana wakalimani wao hao isiwe tabu.

    ReplyDelete
  4. BRO MICHUZI,

    HUYO JAMAA ALIYEKUTUMIA HIYO PICHA NAE KACHEMSHA KWANI AMESHAKWENDA KINYUME NA HILO AGIZO. ALITAKIWA ASOME LAKINI AACHE HUKO HUKO IWE SIRI YAKE LAKINI NAE AMEAMUA KUKUTUMIA. SI ITAKUWA AMEKWENDA KINYUME NA HILO TANGAZO??

    NAWASILISHA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...