HATIMAYE KWA MAJAALIWA YAKE MANANI LEO MCHANA NIMEFANIKIWA KUITOA ILE ZAWADI YA $500 KWA MDAU ALIYEBAHATIKA KUWA WA MILIONI 2 KATIKA GLOBU YETU HII YA JAMII, BRIAN MARIKI, KUPITIA KWA MAMA YAKE MZAZI MAMA MARIKI NA KUSHUHUDIWA NA MWANAKIJIJI MAGGID MJENGWA KUFUATIA MAELEKEZO YA MSHINDI MWENYEWE BAADA YA URASIMU KWENYE TAASISI ZA KUTUMA PESA NJE YA NCHI KUTAKA KUCHELEWESHA HAKI YAKE.


NAMPONGEZA BRIAN KWA KUNYAKUA ZAWADI HIYO, NAMSHUKURU MAMA MARIKI KWA KUJA KUPOKEA ZAWADI HII KWA NIABA YA MWANAWE ALIEKO MASOMONI HOUSTON, TEXAS, NA NAMPA TANO MWANAKIJIJI MAGGID KWA KUAHIRISHA KWAKE SAFARI YA KURUDI IRINGA ILI KUSHUHUDIA TUKIO HILI LA KIHISTORIA. ASANTE SANA MAGGID!


PIA NASEMA AHSANTE SANA SANA KWA KAKA RODRICK MWAMBENE NA KAMPUNI YAKE YA COMPUTERCONSULT LTD KWA KUDHAMINI SHINDANO HILO NA HILI LINALOENDELEA LA KUTABIRI MSHINDI WA MECHI YA MANCHESTER UNITED NA ARSENAL WIKIENDI HII


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. arsenal atashinda 1 - 0 em2da@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. Michuzi,

    Mbona hii issue umeifanya kuwa kubwa namna hii?....lo hata kama ndo mshindi lakini blog nzima sasa imejaa habari za ushindi tu na makabidhiano ya dola 500 toka wiki iliyopita!

    ReplyDelete
  3. bwana Brian dont forget to pay your taxes!! ala kumbe imopekelewa bongo! imetoka hiyo!

    ReplyDelete
  4. Thanks for the compe' Michuzi :D!

    ReplyDelete
  5. Hahahahaha Heheheheheh iiiiiiiii Mithupu nimekukamata.Si ulijifanya kuacha Mikonoziii,Haya mara moja jibu huo mkono wa kulia unamaanisha nini na unafanya nini hapo.Hahahahahahahah

    ReplyDelete
  6. Man Itashinda bao 2 na Arsenal 1.Bao la Man la kwanza litafungwa kwa shuti la Steven Gerald na la pili penalti nzuri ya Didier Drogba.Bao pekee la Arsenal litafungwa na beki mahiri wa Arsenal Lio Ferdinand.
    Beki mstaarabu

    ReplyDelete
  7. MEchi kati ya Manchester United na Arsenal itamalizika kwa sare ya bila kufungana.

    ReplyDelete
  8. manU tutawafunga asernal bao 1 kwa 0.
    jingo2020@yahoo.com

    ReplyDelete
  9. hongera Brian kwa ushindi, pia safi sana umemuachia kitita mama mzazi,,kwani MAMA NI MAMA MPAKA KIAMA! good boy.......na wewe anon hapo juu unayesema sijui Michuzi amekazania wiki nzima, mambo ya huu shindi, we kinakuuma nini? TULIZA MPIRA,,ungelishinda wewe, ungetaka mpaka picha ya bibi na babu yako wamatumbi tuwaone au la ungeng'ang'ania hizo pesa utumiwe uweze kulipia madeni yako huko uliko...tulia mwenzio kashinda muache apete...Hongera Brian, na naona mama ametoa tabasabu la nguvu hapo( anajisemea kumoyo, kuzaa kuzuri jamani)...

    ReplyDelete
  10. MANCHESTER UNITED 1.....ASERNAL I.
    MECHI HII ITAKUWA NI DROO YA GOLI MOJA KWA MOJA.

    ReplyDelete
  11. MICHUZI MBONA KAMA VILE MNAFANANA NA HUYO MSHINDI!! AU NDIO UKOO ULE ULE WA MZEE MICHUZI.

    ReplyDelete
  12. MICHUZI KWELI WEWE UNATIMIZA ULIYOYAHAHIDI...SASA HUO NDO TUNAITA being responsible KWA MAANA WATU WENGI WALIJUA KWAMBA JAMAA WA HOUSTON KASHAPIGWA MCHANGA WA MACHO...keep it up
    kasera
    kansas city,

    ReplyDelete
  13. Majita..

    aaaahaa mwana kumbe umemstukia....naona nidhamu juu ka mfuko wa shati...kaweka tu vidolezi...

    Misupu upoooooooooo kamua baba

    ReplyDelete
  14. MAN UTD watashinda kwa BAO 2 -ARSENAL BAO 0(patupu)



    N:B
    Sijui nikutumie kabisa sanduku la barua ili initumie kabisa cash yangu au unaweza kuwapatia madereva wa malori wanaweza kuniletea hizo dola..Tafadhali mimi zichenji kabisa maana huku home hakuna MADUKA YA KUBADILISHIA PESA...joke

    ReplyDelete
  15. Michuzi mi nataka changu tu
    Mshindi mechi hii ni Man U!
    Man Utd 2
    Arsenal 1

    ReplyDelete
  16. Mithhupu eeh! mambo!

    mi sio mpenzi wa mpira lakini hiyo ngoma ni droo ya bila bila au moja moja.
    kkiwango@yahoo.se

    ReplyDelete
  17. Hello Michuzi, mshindi katika mechi hii ni Arsenal. Matokeo yatakuwa Arsenal 2 na Manchester United 1.

    remmygama@yahoo.com

    ReplyDelete
  18. matokeo ni Arsenal 1, Manchester 0.

    reginambilinyi@yahoo.com

    ReplyDelete
  19. matokeo ni kwamba Manchester united 1 Arsenal 0 ndo kusema Manchester united watashinda hiyo mechi kwa idadi hiyo ya bao niliyoandika. nasubiri pesa yangu tu hapa Michuzi. charliekomba@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  20. mambo michuzi
    ARSENAL 1 MAN UNITED O
    GOLI LITAFUNGWA KIPINDI CHA KWANZA
    felixhaule@yahoo.com

    ReplyDelete
  21. ARSENAL 1 MAN U 0
    GOLI LITAFUNGWA KIPINDI CHA PILI
    hopemgoba@yahoo.com

    ReplyDelete
  22. arsenal 1,manchester 0
    goli litafungwa kipindi cha kwanza
    felixhaule@yahoo.com

    ReplyDelete
  23. arsenal 2,man united 0
    goli moja kipindi cha kwanza na lingine kipindi cha pili
    0714-460977

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...