mh. kashasha akiongoza zoezi la kuhesabu michango ya kagera dei usiku kuamkia leo ambapo milioni 100 keshi zilichangwa hapo hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. na ngapi zitaingia mifukoni!!!

    ReplyDelete
  2. Kulikua na askari wakufanya uangalizi!!! manake nnawasiwasi km hiyo ndo amount sahihi!!!

    ReplyDelete
  3. Mh, yaani kamili 100,000,000, Hakuna hata 500 iliyozid au 250 hivi? Hawa wenyewe wabeba maelfu elfu tuuu, sijui malaki.

    Hawa kweli wanalipa. Sasa bro Michuzi eh, Nitafutie dadako mimi mchumba wa Kihaya. Masharti; Awe kaenda shule, awe na fedha na awe muhudhuriaji mzuri wa hivi vikao vyao ili siku tukikwama WANATUCHANGIA kama kawaida yao, au vipi?

    Nipo serious Michuzi, ama kama kuna mdau mwenye sifa hizo tuwasiliane. Michuzi ana details zangu zote.

    ReplyDelete
  4. Kwa kawaida mtu mwenye tabia fulani, hudhani na wenzake wako hivyo hivyo. Huyu anayefikiria kuwa lazima kuwepo askari, yeye anafikiria wizi tu na kusahau kuwa hata askari wanaweza kuiba. Cha msingi hapa ni nia thabiti ya kuendeleza elimu Kagera.

    ReplyDelete
  5. jamani wana blogu wenzangu naomba kuuliza?hivi hamna zile mashine za kuhesabua pesa jamani tujifunze kwenda na technology.
    im only saying

    ReplyDelete
  6. Hej Anon
    Hapo juu kamnda wa Polisi kikwenu sio askari?. Au kwa mtazamo wako askari ni yule ambae/ye hafungi taiiiiiiiiiii .Hi hiiiiiii.

    ReplyDelete
  7. haya ndo mambo tunayowaambia kila siku.100 millioni cash,angalia mishahara ya wachangaji alafu jiulize wametoa wapi mamilioni ya fedha wanazochanga,bongo sirudi kaka

    ReplyDelete
  8. MICHUZI,HII HABARI YANGU HAHUSIANI NA MAMBO YA HELA HAPO JUU ILA NI USHAURI WA MOJA KWA MOJA KWAKO. WEWE NI MWANA HABARI,NIELEWAVYO MWANAHABARI ANAPASWA KUWA KIOO CHA JAMII,LUGHA NA MAJINA YA SEHEMU UNAYOTUMIA SIDHANI YANATUSAIDIA SISI KAMA NCHI,NAKUOMBA UTAJE MAENEO YETU KAMA YALIVYO ILI HATA KAMA MTU MWINGINE AMBAE SI MTANZANIA APATE KUJUA MAENEO YETU,ACHA LUGHA ZA MITAANI TUMIA LUGHA ZA KIUANDISHI HII ITASAIDIA KUKUZA KISWAHILI, NI MIMI MDOGO WAKO NILIEKUONA WAKATI UNAANZA KUBANGAIZA ILALA WAKATI ULEEE UNAKUMBUKA?NATUA BONGO MWAKANI NITAKUTAFUTA USIKONDA KUANZA KUGESS MIMI NI NANI,NIKO USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...