mijadala kibao imefunguliwa www.dailynews-tsn.com kwa wenye kutaka kuchangia katika 'discussion pot'.
1. kuchelewa kufunguliwa kwa wanja jipya la taifa
2. uraia wa nchi mbili
3. aina mpya ya leseni za udereva
4. wizi wa haki miliki
5. tatizo la foleni dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. BRO MICHU... mimi nimechoka na kila ki2 TZ kilichobakia ni POMBE NA NYITI... basiiii mijadala YA NINI??? wakati kila ki2 kitaendelea hivohivo...EEEhhhh ifike Saa kumi na moja nitoke nikapige Laga bariiiiidiiii...

    ReplyDelete
  2. What about UFISADI?Mjadala wa maslahi ya nchi utakuwa Daily News?Hao waajiriwa wa serikali wanachojua ni kusifia tu...............

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...