hivi ndivyo mambo yalivyokuwa mwaka 1967 siku miss tz ya kwanza ilipofanyika hoteli ya kilimanjaro na mshindi akiwa bibie theresa shayo (5) ambapo baada ya hapo yakapigwa marufuku kabla ya kuibuliwa tena na kina lundenga mwaka 1994

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mwaka 67 kulikuwa na watoto wakali ile mbaya kuliko hawa wa sasa, ama kweli old is gold hebu cheki watoto hao! heheheh ndo nilikuwa nazaliwa masawe! michuzi una picha zao kwa sasa? michu mwisho

    ReplyDelete
  2. kina lundega waliyaibua kwa kuwa walikuwa wamemiss ch*pi

    ReplyDelete
  3. Kwanini siku hizi hawaweki vichupi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...