miss tz 1998 alikuwa basila mwanukuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. waliompa kura za ndiyo walikuwa wanazingatia vigezo gani?kama ni akili tu labda,lakini kama ni sura mmmmh.Semeni mtakavyo lakini demu hana uzuri

    ReplyDelete
  2. ANONY 3:47, Sidhani kama kigezo cha huyu binti kuchaguliwa kuwa miss TZ 1998 ni kwa sababu alikuwa na akili,la hasha.Huyu binti alipata buyu form six. Sijajua ni vigezo gani wakina Lundenga huwa wanatumia kuchagua mrembo wa taifa letu, maana ni wachache sana huwa wanakubalika kuwa na viwango vya ubora na maadili kwa ujumla, wengi wao wanaishia kuwa malaya na kuchafua sifa ya ulimbwende nchini. bado tu wachanga sana katika fani hii ya urembo, tuvute subira labda mambo yatakuwa mazuri mbele ya safari.tumekuwa tukijaribisha aina tofautitofauti, na mara hii tumejaribisha muhindi lakini na mambo hayajawa poa, nadhani tuendelee kupeleka wamatumbi wenzetu tuu, huku tukizingatia uzawa na uhalisia wa watanzania

    ReplyDelete
  3. MIMI NILISHUHUDIA HAYA MASHINDANO NA BASILA ALISTAHILI KUCHUKUA HILI TAJI(HONGERENI MAJAJI) KWANI ALIKUA NA VIGEZO VYOTE UZURI ANAO,UREFU NDIO USISEME MVUTO MIA KWA MIA.
    HONGERA SANA BASILA KWANI JAPO HUKUSHINDA ULIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NA KUTUWAKILISHA VEMA

    ReplyDelete
  4. WE anonymous wajuu vipi kwani umesikia haya ni mashindano ya akili??haya ni mashindano ya urembo na huyu dada sio siri ni mrembo kweli kweli alistahili kushinda na mwaka wake alipta gari ya sports car na alitesa kweli kweli ila si unajua tena watu vikorosho kwa saaana wengine dada zao hawakushinda basi chuki kibao.

    ReplyDelete
  5. Mashindano ya mwaka huu niliyashuhudia na Basila alishinda kwa kishindo warembo wengine hawakufurukuta.Michuzi Basila yuko wapi sasa hivi. kweli huy dada ni mrembo sio siri

    ReplyDelete
  6. uliyesema si mashindano ya akili,kwa taarifa yako (akili,welevu ama werevu) au vyovyote utakavyoita wewe ni kigezo kimojawapo katika kumchagua miss wa nchi yoyote ile hata miss world/universe.Niliuza kama alikuwa ana akili ama ni mwelevu zaidi ya washiriki wengine.Na kama ni uzuri au mvuto huyu dada hana vyote viwili.Hata kipofu anaweza kuona huyu demu ana sura mmmmmmmmmmh.Holler back

    ReplyDelete
  7. Looking beautiful!!!! AS ALWAYS
    Kumbe ulianza zamani dada!! hongera zako!

    ReplyDelete
  8. We Anonymous wa 9:32 PM . Una roho mbaya na si ajabu sura mbaya pia umekaa ki shangingi type .
    Kisa cha kumuandama dada wa watu.
    Basila Mwanukuzi is the most Beautiful,Classic,down to earth Miss TZ I have ever come across.
    She comes from a good family,ana tabia nzuri, and a smart woman also. wasio mjua ndio wana fungua midomo yao michafu na kuandika utumbo.
    Sisi wanaume ndio tunajua msichana mzuri na mbaya
    Basila You are an Africa queen the girl of my dream !!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...