mrembo nancy sumari ndiye aliyekuwa miss tz 2005 ambapo hadi sasa hakuna ambaye amekuwa mwenye fanaka kama yeye baada ya kushinda miss world africa kwenye mashindano hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. she is pretty,got a prettiest smile more than all those bimbos including richa

    ReplyDelete
  2. hiki nacho kiko wapi,hope kinasoma sio kuruka ruka tuu

    ReplyDelete
  3. Mwenzangu wabongo tulivyo tukishapata kiumaarufu tu hata shule hatutaki tena.sijui yuko wapi naye huyu.ila ni mrembo kweli na angekuwa anaelimu ya kutosha wee lazima angekimbiza sana ila uzuri bila elimu is nothing.

    ReplyDelete
  4. Nywele za bandia.Uzuri ninaouzimia ni natural sio wa kununua.

    ReplyDelete
  5. Acheni wivu wanawake hapo juu, nani amekwambia KUSOMA NDO KILA KITU... Mwacheni mwanamke mwenzenu aangaike kutafuta maisha yake... kwani watu si wanasoma ili wapate HELA sasa na yeye anakuwa mjanja wakutafuta hapa na pale na ni hizohizo HELA anatafuta... Wangapi matajiri lakinihawajaenda SHULE...

    SHULE si lolote kila mtu anaBAHATI yake U FOOLS... Nancy Babe DONT GIVE UP!!! KEEP UR HEAD UP!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...