novemba 18, 1995: siku moja kabla hatujamwapisha mh. benjamin mkapa kuwa rais wa awamu ya tatu uwanja wa taaifa wa neshno. kulia ni moshy kiyungi wa the guardian, kabendera shinani wa bbc (marehemu) na mie mbangaizaji. siku kama hii lazima mje siku moja kabla kula tizi na kuangalia namna ya kukaa kupata snepu nzuri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Aisee watu tumetoka mbali enh?

    Michuzi mwenyewe ulikuwa mshamba-mshamba hapo! Mambo ya "Tumetoka kwetu Maheeenge, Tumekuja Darisalama ..."

    ReplyDelete
  2. kaka misupu, enzi hizo ulikuwa hujaanza kula "bata wa interchick" nini..maana unaoneka umefyodo kidogo...ila hata husingesema mwaka tungeelewa maana huyo moshy alivyovalia kizamani, tai ndeeefu yenye maua mengi na suruali nyekunduuuuu....ahahaha...flash back

    ReplyDelete
  3. Nakuaminia kaka michu..mambo umeyaanza zamani na kumbu kumbu unazo.. mdau Holland

    ReplyDelete
  4. Tayari ulikuwa umeshapata my wife wako hapo kaka michuzi

    ReplyDelete
  5. Alikuwa yuko kwenye riheso jamani sasa avae nguo za sikukuu kwenye riheso? Nyie hamjui maana ya riheso nini?

    Halafu Michuzi hapo alikuwa fiti, sio kama sasa amenenepaa na umri nao lakini fanya mazoezi mshikaji si unajua siku hizi kuna kisukari na magonjwa ya moyo ambayo zamani tulikuwa tunayasikia kwa wazungu kwa sababu ya diet yetu ya dagaa mchicha, tembele, bamia na dona lako mwanawane utapate magonjwa ya dayati kama kisugar na mengineyo!

    ReplyDelete
  6. Michuzi kumbe hendisam weye
    yaani umetoka mchicha sana kwenye picha hii
    Nimekuzimia ile mbaya duh !!
    ulikua mzuri !!!!
    taratibu kaka utavunja ndoa zetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...