Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano unaozungumzi juu ya masuala ya utafiti wa uchumi kwa Afrika, mara baada ya kufungua mkutano huo asubuhi ya leo katika Hoteli ya kilimanjari kempisk jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hawa wanakutana kwa ajili ya perdiem tu hakuna chochote cha maana, Africa, africa africa wameifanyia nini toka waanze kukutana?
    Wapuuzi tu.
    Hivi jamani naomba kujua, kweli Dr shein makamu wa raisi hana nyumba aliyojenga ya kuishi?
    Nimeambiwa eti jeshi wanataka kumchengea nyumba anakaa nyumba ya urithi ya wazazi wake!?.
    Mambo ya ujamaa bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...