msanii dully sykes akifanya onesho lake huko holland ijumaa ilopita ambalo limetajwa kuwa bomba kiasi cha wadau kuomba wansimooo kabla hajaondoka kuelekea nchi ingine

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. wawawaaa... fagilia Missiffazzz Kempu Meen!!!

    Ilala inatisha mwaka huu. Huku Richard huku Dully

    ReplyDelete
  2. Huyu anayechza naye sijui ndio nani? Salome, Julieta, Jasinta, Bijoux au baby Candy? Akirudi huku uswahili tutakoma maana hilo jina la misifa anajua kweli kulipatia na misifa yake. Safari hii nadhani atatulia na kufanya kitu cha maana zaid na pesa zake.

    ReplyDelete
  3. Ndugu Michuzi,
    Maoni yangu hayahusiki na muziki wa Dully. Nimepata aibu kubwa hapa Japan baada ya kusoma habari ya kibiashara inayohusu mfanyabiashara anaeuza vitu vya SAMSUNG Tanzania (sole distributor). Sifahamu wa nini Edita kapitisha maoni ya mwandishi kuwa Balozi wa KOREA KASKAZINI (North Korea) kafungua hio biashara yake wakati inajulikana duniani kote kuwa Samsung ni ya Korea Kusini. Hii ni aibu kubwa. Gazeti ni la The Guardian (jana), gazeti muhimu la Kiingereza Tanzania. Hii ndio sababu ya nchi za kitajiri zinalazimisha waandishi wasome chuo kikuu kabla ya kuandika maoni ya kibiashara magazetini. Na kama mimi ni Mengi basi Edita hana kazi. Haya ni maoni yangu na naamini wewe kama mwaandishi wa habari unafamu kwa nini yanatia aibu. Nimeweka maoni hapa kwa kuwa najua wadau wengi watapita kwa kuwa kuna habari za Muziki sio za kibiashara.

    ReplyDelete
  4. Ndo zenu wabongo mnafagilia starehe kuliko kazi.
    Njaa inakuja hiyo mtakoma.

    ReplyDelete
  5. SASA HAPA DULI SEXY MBONA AMEVAA PETE AU NDIO YALE YALE!!!!!!!!!MMMMMMMMMMM. ææææææææææææ

    ReplyDelete
  6. Sasa wewe jamaa wa SAMSUNG unatatizo gani?? Kwani umethibitisha na kuona kuwa si BALOZI wa Korea kaskazini ndiye aliyefungua hiyo biashara?? Usimtupie lawama mwandishi, kwanza thibitisha kama yaliyoaandikwa ni ya kweli au la. Yawezekana kabisa huyo Sole distributor ndo kafanya huo uchuro wa kumwalika MSURE wa Kaskazini badala wa kusini. NAWASILISHA

    ReplyDelete
  7. Jamaa wa SAMSUNG kaongea jambo moja la maana sana,sijui ni kwa nini watu kama wewe anon dec 3,07:3:44 hukuelewa.Mwandishi lazima awe hakiki kwa kile anachoandika.Ndiyo maana enzi za magezeti ya "uhuru,Mzalendo,Daily news,sunday news" na magezeti mengine machache yaliyokuwa yanatesa enzi zile pindi mwandishi akikosea kuelezea jambo fulani kihakiki walikuwa wanaomba msamaha kwenye toleo lifuatalo sio siku hizi.Waandishi wengi wa siku hizi ni form four failure wanaochukuwa kijikozi pale TSJ na matokeo yake wanaharibu taaluma za watu.

    ReplyDelete
  8. Wee anon wa tatu wewe vipi?. Unasema umepata aibu,baada ya hapo unasama aibu hii ni kubwa kwa gadiani hivi mengi mjomba wako?. Kwnza nji gani tajiri zinzsema lazima waandiishi waende chuo kikuu. Usidanganye kenge njoo dk nikuonyeshe waandidhi kibao wasio na nondo.......kweeeenda....

    ReplyDelete
  9. nyie wala vumbi wenye wivu na wabeba box,hivyo vitu ambavyo kshikilia mchovu mwenzenu sijui baby candy huku ndio tunakula everyday...nyie endeleeni kula vumbi
    wenu mbeba box.

    ReplyDelete
  10. Ahh!!!!
    Wee anon hapo juu sasa huo ndio unaona umaarufu. Hebu jiulize ukishamaLIZA KULA unpata nini?. Unatoka zigua nini kwanza hazija pigwa najua hizo............. Lete mpya

    ReplyDelete
  11. Wahwaaaaah Mr Chicks aka Misifa ndani ya nyumba halo halo!

    Kitu na box, totoz la kizungu lilipagawa mpaka likapanda juu ya steji duh!

    Huyu ndo INTERNATIONAL ARTIST basi tuu hakuna watu wa kukuza kipaji chake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...