Hi Michuzi!!
Mdau Jumanne akipiga mikonozz baada ya kupata nondo ya BSC Hons in computer science kutoka Chuo kikuu cha Thames valley university, UK. pichani yupo na dada zake Mariam (kulia) na Johari.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HONGERA SANA JUMANNE.NI MIMI DADA YAKO SALMA-DUBAI

    ReplyDelete
  2. MIKONOZZZZ TO THE FULLEST.....KEEP THE BLOG TRADITION BY ENDELEZARING THE MIKONOZZZ......


    Mpe pongezi sana j4 maana duh...katoka mbali mpaka kufikia hiyo Nondozzzz

    ReplyDelete
  3. Wewe huwa unawapiga mikonoz dada zako???Umeshasema ni dada zake sasa kuweka comment kwamba anawapiga mikonoz tukuelewe vipi????

    ReplyDelete
  4. Mwelewe Daa daa,Daa daa. Dada DAKU KULAAAAAAAAAAA.

    ReplyDelete
  5. J4 hongera sana kwa nondo zako ulizopata,Mariam vipi njoo basi jumamosi kule usikose

    ReplyDelete
  6. Ehe! safari ni ndefu toka MG miaka ya mid 90's pale Mchikichini Hostel(Kwa Father Nkwela au Bro JOHN) na 4rest Hill, hongera J4 br...

    ReplyDelete
  7. cheers man, thats wonderful so now suala zima la computer liko fine. congrats.
    lily

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...