jk akikagua mabweni mapya ya chuo cha ualimu cha vikindu wilayani mkuranga leo katika siku ya pili ya ziara yake ya kikazi mkoa wa pwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. it look too small to accomodate eight people.

    ReplyDelete
  2. Nadhani hapa Mh.Rais JK anashangaa waliochora na kujenga chumba kidogo namna hiyo.
    Inanikumbusha vyumba vyetu mabaharia wapiga deki katika meli tulizozamia kuja ughaibuni. Vyumba vipo dizaini hiyo hiyo ndani ya meli za 'Messina Linea' meli ya makontena.
    Ama kweli si ajabu waalimu watarajiwa kuendesha migomo ya mra kwa mara kwa kubanwa miaka miwili wakisaka dilpoma ya ualimu.
    SeniorJunior
    London.

    ReplyDelete
  3. hii mitanda ya mbao nayo inachukua space kubwa? kwani hakuna deka za chuma jamani?

    ReplyDelete
  4. Huyu alie design hili jengo hakuwa na vision. Watu 8 hawatoshi humo ndani..utaweka wapi nguo? nimesoma shule za sekondari Bongo na nakumbuka tulikuwa na ma locker kwa ajili ya storage, hapa lockers hazipo, may be ziko kwa nje.
    ..utasomea wapi incase you don't feel like going to the library?
    Pia nime bahatika kusoma nje ya nchi ambapo hiki chumba kwa standard ya ma dorm niliyoishi kina acomodate watu wawili tena kwa shida sana..
    I mean siwezi ku compare bweni la U.S. na bweni la shule Tanzania kwani kufanya hivyo si haki..moja kwa sababu wenzetu ni watu wanao mind sana "space" zao...which means hawapendi kubanana wala msongamano na pili serikali, states, counties, makanisa, etc.,wana resources za kujenga facilities za hali ya juu sio tu kwenye elimu bali hata kwenye michezo, na nyanja zingine tofauti.
    Lakini this room for 8 people is too tiny. Hata yale mabweni ya Sekondari yaliyojengwa zamani zile yana more space.
    Nafikiri this picture explains itself..Mheshimiwa Rais anaonekana ana mshangao...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...