napata dina la mchana na mwanakijijji wa ipogole maggid mjengwa ambaye kaja kutoa tongotongo kidogo hapa jijini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Tunaipenda kazi yenu na tunawashukuru sana kwakuwa mko makini na hakuna mzaha sio kama blog zingine habari inakaa zaidi ya wiki mbili mtu haonekani kama yupo ama hayupo kazini. Big up to you all.

    ReplyDelete
  2. Wewe mwezetu kaka michuzi kila wakati unakula vitu vizuri tuuu mfuko wako umejaa eheee halafu unenepi tupe sirii

    ReplyDelete
  3. Ahaaa nimepajua hapa niwapi nilivyokuwa bongo nilienda karibu na Vijana road kuna msosi bomba sio mchezo nilipelekwa na baba wa mtu lakini msimwambie mkeweeee siri yenu wanabog anaitwa baba naniiii mimi na sema tu WABONGO ANGALIENI UKIMWI HATARI nimeandika hivyo kwasababu najua wabongo mnavyopenda udaku mtasoma halafu mwishowe mpate ujumbe fanyeni NGONO SALAMA

    ReplyDelete
  4. kwa kweli tunashukuru sana kazi yenu ni nzuri sana !na cha zaidi ni uzalendo wenu hapo hongereni sana Mjengwa kwa kweli cku napata zawadi nitaileta kwa mikono yangu na kukubidhi maana vijana msio kuwa na element za kikoloni mpo huru sasa vijana wa sasa tukiwa hivyo nchi inasonga mbele !

    ReplyDelete
  5. Kiswahili lugha yako michu..sasa iyo lunch ya usiku saa ngapi? mdau Holland

    ReplyDelete
  6. Mungu awabariki kwa moyo wenu wa kujitolea hadi mmefanikiwa kuwa chimbuko la faraja, burudani, mawasiliano, na mengine mengi kwa Watanzania nje na ndani ya TZ. Kazi njema.

    ReplyDelete
  7. Mungu awabariki kwa moyo wenu sana tu

    Lakini mchezo wa kuzuia comments za watu sio mzuri kabisa. Naona unamfundisha hata huyo mwenzio yeye hazuii comments kabisa ila anaziacha kama dakika 20 sijui wakubwa wake wakimpigia simu tu na kumtonya basi anazidelete

    Please let people be free to speak their minds!!!!!!

    Kama mtu akitoa comments haina matusi wala kumtukana mtu wala nini...Kwanini mnazizuia au mnazi delete???? Tanzania yetu haina noma wala nini let people be freeeeeeeee

    Kama katika mambo ya siasa, serikali, management, civilization etc... topic hizo ni heri muweke watu wanachosema na wengine waelewe mkikalia wahusika wanaoelezwa wasiposikia siku moja itakua mchanga kuingia machoni.

    Kama ni issue ya private person hiyo ni halali ya kuondoa maneno ya udaku au kashfa but to public people that have been appointed or elected by US please....we are missing the existence of democracy here.

    Bungu ibariki Tanzania
    Mungu Ibariki Africa....


    We need more more freedon...more more fredom ...
    More more fredom of speech ....more more freedom of speech....


    We want to be able to speak freely without censorship

    ReplyDelete
  8. watu wanakumind kaka yetu michuz kwa kazi yako njema, wanatoka makwao, mikoani mwao kuja tuu kukuona na kukupa pongezi zao. u deserve it. bon apetit.
    nana

    ReplyDelete
  9. Heee Michuzi nawe kwa kupenda raha na msosi mwe !!!!
    lakini nawe hela zote hizo lakini mavazi yako mmmmmh
    nunua nguo nzuri bwana

    ReplyDelete
  10. Huyo bwana Mdogo wa ipogolo siku hizi hakauki Bagamoyo huyo.
    Sijui keshapata bibi wa Kizaramo kule!

    ReplyDelete
  11. Mhu hapo mnajichana mgahawa dada na Chef Pride Lumumba naona mishikaki ya nguvu du mate yananitoka nimemiss mishikaki ile mbaya.

    Tena mmetilia batiki nzuri za kwetu mali halisi ya Kitanzania hasa hiyo ya Michuzi itakuwa zile zenye bonge la picha ya Africa. Hongereni kwa kujali pamba zetu.

    Bwana Mjengwa kweli mara hii uko Dar uko Bagamoyo, hivi unaishi Iringa kweli? Au huwa unaenda mara moja moja?

    ReplyDelete
  12. Michuzi kuwa makini bwana sipendi tabia yako ya kukosea kosea kiswahili, Hii dina ya mchana ndo nini?
    I love both of you my men, you are so great, you do the wonderful job to our country, you fight for corruption and other criminals.
    Now you deserve a nice foot like that, just have it, use it, eat it and enjoy it for your health.

    Bon appetit

    ReplyDelete
  13. Na hiyo Dina yake ya mchana ngoja tumwitie kiboko yake Maggie 'Kifimbo Cheza'

    Dina ya mchana njema na lunch ya usiku njema pia.

    ReplyDelete
  14. Michudhi, yaani umemsahau Maggie wa Ukerewe sio. Ngoja nimwite, "Maggiiiiiiieeeeee, huyu hapa!"

    Misupu huu utani tu, akileta za kuleta tutamfanyia tena kama vilee! Lakini mshikaji inaonekana umefaidi, siku moja ufanye ka FUNCTION ukaribishe wana Blog kupitia hapa, tujumuike. Tatizo lako Michudhi, hutaki kuwaona watu wanaoendeleza libeneke hapa, unapenda kuona majambozii tu, hata kuchanga Michuzi tutachanga, siku moja fanya Get Together Party watu wafahamiane, sasa kumuita majidd mjengwa kwani yeye ndio anajua kula peke yake?

    ReplyDelete
  15. Majidd ukila kwa watu unapendeza!!!!!

    ReplyDelete
  16. Michuzi acha tabia yako ya kutotoa maoni ya watu nimetuma habari za yule ponjolo kusaidia kili boys na kutaka ku milk uchumi wa bongo hujatoa na pia nikakupa ukweli kuhusu mjengwa na tongotongo hujatoa ni nini unafanya kama sio kalani au mnafiki au unatumia hii brog kwa manufaa yako acha watu waongee ukweli sijamtukana mtu nilichoongea ni kuhusu namna watu wanavyoweza kutumia sports kujinufaisha acha hizo wekla maoni ya kila mtu kama hakuna matusi sasa nashindwa kuelewa kama hii brog ni kwa manufaa yetu wabongo au yako mwenyewe usifikili washikaji wote no ma zombis utashangaa siku hii brog umebakia wewe na shangazi yako. kuwa mkweli na mpenda maendeleo ndio utafanikiwa ni bora watu wakuchukie kwa ukweli na si kuwa mnafiki wa waarabu na wahindi!!! dont be stupid wewe ni mbongo kama mimi.

    ReplyDelete
  17. Nianze kwa kumuunga mkono anon hapo juu michuzi una tabia ya kubania maoni ya watu na mengine hayana matusi ila sijui ni nini unaogopa nini maana ya freedom of speach kaka!au uhuru wa vyombo vya habari au washikaji wanakudhamini nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...