Yafuatayo ni mahojiano yangu na Jaji Mark Bomani, Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Rais kuhusu Sekta ya Madini. Nilipata nafasi ya kuzungumza naye kuhusu kamati hiyo na majukumu yake. Majibu ya Jaji Makani yanaweza kuwashangaza watu wengi. Zaidi ya yote miaka 46 baada ya Uhuru; wapi tulipo, wapi tunataka kwenda. (Pichani, Amir Jamal, Dereck Brycson, JK Nyerere, Chief Abdallah Fundikira, Paul Bomani. Juu toka Kushoto Solomon Eliofoo, Rashid Kawawa, Nsilo Swai, Oscar Kambona, Tewa Saidi Tewa


Title: KLH News Episode: Mahojiano na Jaji Mark Bomani wa Kamati ya Madini
http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2007-12-09T00_31_32-08_00
Enjoy!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi, mbona pa kutoa maoni maandishi yake ni ya Kirusi,yakhe? Kulikoni?

    Katika hiyo picha hakuna Solomon Eliofoo wala Dereck Brycson!

    Huyo Mzungu kari ya Nyerere na Jamal ni Ernest Vassey, Waziri wa Fedha). Na huyo Mzungu mwingine si Bell, Mwanasheria Mkuu wa serikali. Unayemwita Solomon Eliofoo ni Job Lusinde.

    ReplyDelete
  2. nusu yao kwenye hiyo picha walimezwa na nyerere!!!

    ReplyDelete
  3. Kumbe Nyerere Papa, anameza watu? Duh, hii hatari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...