UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WASHINGTON DC NA VITONGOJI VYAKE UNAPENDA KUWAFAHAMISHA WANACHAMA NA WATANZANIA WOTE KUWA MKUTANO ULIOKUWA UFANYIKE JUMAMOSI DESEMBA 1,2007 UMEAHIRISHWA HADI DESEMBA 15,2007 KUTOKANA NA MHESHIMIWA RAIS YASSIN NJAYAGHA KUPATA DHARURA.
BAADHI YA AJENDA ZITAKUWA NI PAMOJA NA
1.RIPOTI YA UONGOZI ULIOKO MADARAKANI
2.KUUNDWA KWA KAMATI YA UCHAGUZI
TAARIFA IMEIDHINISHWA NA UONGOZI ATC METRO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AAa Mwenyekiti, pole sana na dharura. nilikuwa nime-call sick kazini sababu ya mkutanno, any way yote ni mipango ya mungu.
    asante.
    Mwakipesile

    ReplyDelete
  2. Mbongo ni mbongo tu. hivi hata nyie tunaodhani mmeendelea kwa kuwepo ughaibuni kumbe ni u turn tu, hamwezi kuendesha mabo yenu kiprogram kama wasomi? Tunajifunza nini tuliobaki home? Hamuoni hata aibu eti mnaahirisha mkutano siku ya mkutano. Yaani naahirisha siku imeshafika!!!!!!
    Watu kama mwakipesile nao ni sufuri (sifuri) Mwakipesile una akili zote kweli kuutangazia ulimwengu kuwa umecall sick kazini 7bu ya mkutano, tulibaki TZ tuliacha uongo huo mwaka 1995 baada ya mzee ruksa kutoka madarakani nyie Marekani bado mnaendelea? haki ya nani unasitahili kurudi Kyela ukalime mpunga.

    Nawatakia mkutano mwema hapo 15/12/2007 mjadili pia kuhusu Tanzania na waTZ kwa ujumla.
    Mungu ibariki TZ na waTZ walioko USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...