Michuzi,
Msaada kwenye tuta. Namtafuta bwana BONIFACE MWALUKASA (au maarufu kama BONI) mkazi wa maeneo ya Ubungo hapa Dar es Salaam.Alikuwa dereva wa teksi anapaki kituo cha taksi jirani na baa ya Machange Kinondoni.Simu yake haipatikani kwa muda mrefu sasa,na nina ujumbe muhimu sana kwake.Naomba msomaji yeyote wa blogu hii anayemfahamu amjulishe awasiliane nami kwa namba 0713543505
-TICHA
Ticha kweli umepinda, hapa umeona panafaa kumtafuta BONI, POLE usijali watakusaidia. Siku nyingine jaribu kutafuta sehem nzuri ya kumtafuta Boni hapa tunajadili mambo ya msingi kwa taifa letu.
ReplyDelete