WADAU TOKA KUSHOTO CALVIN JILALA, BISHOP ALOYSIUS BALINA, SUSUMA WA SUSUMA AND EDWARD KONDELA TOKA CHUO KIKUU CHA SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA WAKIPOZI NA BABA ASKOFU BAADA YA KULA NONDOZZ ZAO ZA BA in MASS COMMUNICATION MAJUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hongera sana wadau hizo ndiyo degree za kujenga nchi.mumefanya mitihani yenu darasani na hakuna cha "take home exams" kama jamaa zetu tunao wajua.Big up brothers.very good!

    ReplyDelete
  2. yeyeoo, mitaa ya LAVWAA hapo, namis sana hom hasa watu wangu wa saut...nitarudi wazee tuendeleze libeneke...big up wazee wa mass com..naomba niulize wale watu wa bba waliruhusiwa kugraduate? manake wakati naondoka kulikuwa na walakini km wataruhusiwa kugraduate!!!!

    ReplyDelete
  3. Poleni sana mtakosa kufaidi uroda.

    ReplyDelete
  4. hawa jamaa mbona wamechoka sana hawa...lakini wajomba hongereni sana na tunatrajia mtasaidia kufundisha shule zetu za sekondari huko wilayani

    ReplyDelete
  5. Hongereni sana. mmenikumbusha mbali pale Malimbe. Ama kweli elimu nzuri inatoka 'porini', lakini nasikia siku hizi mapori yanakatwa ile mbaya na chuo kupanuliwa...Mass Com mnatisha, lakini kasoro yenu moja tu. MNASHINDWA KUTUMIA SIKU YA GRADUATION KUTANGAZA CHUO. baba fau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...