Mdau Mwanga Kirahi wa London anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi kilichotokea leo asubuhi huko Tarime, mkoani Mara. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho huko huko Tarime.
Kwa niaba ya wadau wote natoa mkono wa rambirambi kwa Mwanga Kirahi kwa msiba huu mzito na kuomba Mungu ailaze pema roho ya mpendwa mama yetu - Amina
Kwa mawasilano na kumpa pole piga simu
no +44 7950302881
email: mwanga@gmail.com
Valene Maharaj missworld
ReplyDeleteDear Mwanga Kirahi . . . . Pole sana kwa Msiba wa Mama. Bwana Alitoa . . Bwana Ametwaa . . . Jina la Bwana Libarikiwe. RIP Mama Kirahi . . . .
ReplyDeleteMdau Segerea
Bwana Mwanga,
ReplyDeletePole sana kwa msiba mkubwa uliokufika naamini Mungu atakushika mkono na kukupitisha ktk kipindi hiki kigumu kwako.
Mungu akubariki sana na akupe Amani yake na aiguse familia yako yote ktk kipindi hiki.
Mtanzania mwenzio.
Nick
houston U.S.A.
wew hapo juu yaani kwenye msiba unaleta mambo ya Miss world. na wewe michuzi mbona comments nyingine unakua unaondoa lakini nyingine hata hujali.
ReplyDeleteKuna watu wasiowaza wanaandika nini ilimradi basi keyboard iko mikononi mwao.
Poleni wafiwa na mungu awape amani katika kipindi hiki kigumu
Bwana MWANGA jina lako ni faraja kubwa, ninaomba uwe mvumilivu sana katika kipindi hiki kigumu wewe, familia yako na jamaa wote walio katika msiba huu.
ReplyDeleteMwanga wa Bwana Mungu ukuongoze uishinde huzuni ya kufiwa na mama, si jambo rahisi ila kwa mapenzi ya Mungu itawezekana.
POLENI SANA