
Wadau,
kuna mzungu ameandika kuhusu Tanzania, ipo sentensi moja katika blogu yake imenichefua mno. Tafadhali naomba walioguswa nao wakemee hii tabia ya kulinganisha vitu visivyolingana, ni kebehi na dharau! Sentensi iliyoniudhi ni hii:
"a female traffic officer in a tight blue skirt and with legs as thick as small tree trunks" .
Walaumu anavyofanya kazi yake na si kumwingilia mtu maungoni! Mambo kama haya hayasemwi hadharani hivi, labda uwe na ugomvi binafsi na si kumnyumbulisha mtu kwa mfano wa kitu. This is what the traffic looked like this morning at 7. Incoming and out-going, switching between fast and slow lanes, evidently obeying new rules every day.
Sometimes you drive according to the traffic light: On occasion it doesn't work (but you still drive as if it sort of did): Most mornings a female traffic officer in a tight blue skirt and with legs as thick as small tree trunks is orchestrating the traffic.
Many mornings it feels sort of like a mental preparation of my mind for attacking the heaps of work in my office.
Inapatikana:
bofya hapa
Subi
Huyu mama wa MS Tanzania anatakiwa kupewa onyo kali au kushtakiwa kwa kumuita mtu mwenye mguu kama shina la mti. Ama kweli hii ni dharau ya hali ya juu sana. Anaweza kushitakiwa huyu kwa matamshi ya kibaguzi
Mdau