Mdau mkuu wa Libeneke na nanihii
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT "THE SMART CHOICE" Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Ila nawaomba tuweze kujieshimu kila mmoja wetu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya globu ya jamii, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoeleza vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.



 

Saturday, April 5, 2008
mtoto samwel kwenda india mwezi huu
Samwel alivyo leo ambapo sura yake inazidi kuathirika
Mtoto Samuel Emanuel, akiwa na Kamati ya maandalizi ya tiba yake kwenda India inayotarajiwa kufanyika mwezi huu. Kutoka kushoto ni, Athumani Hamisi, Emanuel Nkya (baba mtu) , David Sawe na Muhidi Issa Michuzi.
Mtoto Samuel pamoja na kamati yake ya matibabu wanapenda kutoa shukurani za dhati kwa wadau wasamaria wema wote waliojitolewa kwa hali na mali ndani na nje ya nchi kufanikisha harambee hii ambayo imezaa dola 8,000 taslimu.
Shukrani maalumu za kamati zinakwenda pia kwa mdau Jimmy Kihwele wa Wichita, Marekani, ambaye mara baada ya kuona tangazo la mtoto Samwel alianzisha blog maalumu na kuweza kufanya harambee huko aliko ambayo pia imechangia kujazia katika gharama za matibabu.
Tovuti ya mdau Jimmy ni http://www.jifunze.com/FundRaising/ ambayo pia inaweza kutumika katika kukamilisha gharama. ASANTE SANA JIMMY KIHWELE PAMOJA NA WASAMARIA WEMA WOTE WA HUKO KWA MICHANGO YENU YA HALI NA MALI. NI MOLA PEKEE ATAEWALIPA KWA USAMARIA WENU


Hata hivyo, baada ya juhudi za miezi kadhaa na kama hesabu zinavyoonesha hapo juu pesa za kukava gharama hazijatimia zote na zimepungua dola 4,000 ili kukamilisha kila kitu.
Kwa unyenyekevu kamati inaomba msaada zaidi kupitia namba ya akaunti ifuatayo kwa atakayependa kuchangia ili kufanikisha zoezi hili.


Account Holder:-- Samuel Emanuel
Account No.5819762620
Exim Bank,Clock Tower Branch


Zifuatazo ni picha mbalimbali za mtoto Samuel Emanuel Nkya katika nyakati tofauti wakati wa utoto wake na awamu mbalimbali za athari za tukio la kuungua kwa dawa alipokuwa akitibiwa kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili. Hivi sasa, Samuel ana umri wa miaka minne na nusu. Chini kabisa ni maelezo kamili na gharama za maradhi yake kama ilivyoanishwa na hospitali husika ya huko India





Dear Mr.Imanuel,


Please find below the opinion of Dr.Sitaram Prasad.


Quote: Dear Mr. Imanuel,

This is Dr. Prasad from Wockhardt Hospital. I have seen the photographs of your child. Your child has most likely suffered from acondition called Cancrm Oris. This is a disease that destroys alltissue that it infects. The defect that it has left behind requiresmultiple reconstructive procedures.


We start by replacing all the skinand inner lining (mucosa) that has been lost in the disease process. One of the options we have is to do a mcrovascular flap. Whatever hasto be done, it will have to be planned carefully, keeping bothcosmesis and the child's future growth in mind.


This is one reason whyI have suggested to saurav (our International Marketing Manager to send you the estimate for a level 7 surgery. Once I have examined thechild both by photographs and physically I may change my plans anddowngrade the level of surgery.


I thought I would communicate with youdirectly, since we would require to wxchange views and communication. You may please mark a copy of each of your communication to me to Saurav as well

Sinc, Dr. Prasad: Unquote


As per the opinion above by Dr.Sitaram Prasad , the estimated package cost for the surgery would be 10200 USD for a stay of up to 20 days in a private room, where a companion can stay with the patient. Our Package Cost includes the following additional services besides the cost of the tests and procedures mentioned above: -

(i) Internal transfers by AC Car to and from the Hospital to Bangalore international Airport on arrival/ departure

(ii) Initial consultation with the Surgeon/ Physician on arrival at the hospital

(iii) Standard pre-surgery tests, including X-rays, scans, as required

(iv) Standard pre / post surgery medication

(v) Stay in an AC room for the number of days indicated against the package. One companion can also stay with the patient in this room, which is equipped with Colour TV, connected to Cable.

(vi) Our Guest relations officer provides priority facilitation to overseas patients during their stay at the hospital.

(vii)A comprehensive written medical report before discharge

(viii) A personal dietician who will advise the patient throughout the stay and advise F& B to serve from a special international menu of food and beverages for the patient.

(ix) Post discharge consultation if required after patient's return to his home by email/ telecalling ( review of scans or X Rays, telephonic consultation, etc. )

(x) We accept International Master Visa Credit Card and provide Currency Exchange facility in the hospital.

(xi) Daily E mail updates to the referring doctors and the patients family.


Once you decide to come, we will send you a letter that will help you get Indian Visa on priority and we would also help you with your travel arrangements For any further assistance please feel free to write back to us.


Assuring you with best of our services.

Saurav Chatterjee

Manager - International Marketing

Wockhardt Hospital ,

Mulund Mumbai :400078

Tel:(O) - (0091) 67994221 ,

(M) - (0091) 9833874545

Fax - (0091) 67994242


Website: http://www.wockhardthospitals.com/
 
© Michuzi | Saturday, April 05, 2008 | Permalink | Mtumie Rafiki Yako |


Maoni: 9


  • Tarehe Sat Apr 05, 10:50:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Nashauri Michuzi na wanakamati wengine muwasiliane na Wizara ya Afya, kitengo kinachoshughulikia matibabu nje ili Wizara nayo ichangie kiasi au kuziba pengo lililobaki.
    Mdau
    http://drfaustine.blogspot.com/

     
  • Tarehe Sat Apr 05, 10:53:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Natabiri Kombe la FA Premier League litaenda Man U mwaka huu. Kwa kasi hii Arsenal natabiri itakuwa ya tatu na huenda ikatolewa Champions League.
    Mdau
    http://drfaustine.blogspot.com/

     
  • Tarehe Sun Apr 06, 01:01:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Pole sana Samuel, mungu atakujalia na utarudi katika hali yako ya zamani kabla ya kuathirika na dawa kwani dunia hivi sasa imeendelea sana katika masuala ya tiba.

     
  • Tarehe Sun Apr 06, 02:33:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    May God almighty bless you. I hope all will go well and you will get cured soon. Mungu wetu ni mwaminifu, for us who cant contribute in terms of money, we will try to contribute with prayers.
    Good luck.

     
  • Tarehe Sun Apr 06, 06:55:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Namuombea huyu mtoto kwa Mwenyezi Mungu amsaidie kufanikiwa kupata hizo hela na afanyiwe operation yenye mafanikio. God bless you my dear Samwel!

    Mdau,
    Gothenburg, Sweden.

     
  • Tarehe Sun Apr 06, 09:53:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Wewe unayeweka mambo ya mpira kwenye hii article hauna akili kabisa. Inasikitisha kuona mtu mzima hovyoo namna hiyo. Kama ulikuwa hauna cha kuandika, afadhali ungeacha.

     
  • Tarehe Sun Apr 06, 09:57:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Pole sana mdogo wangu Samuel. Nakuombea kwa Mungu akupe nafuu na akurudisha katika hali yako ya mwanzoni. Pia nawapongeza wazazi (Mr and Mrs Nkya) kwa moyo wao wa upendo kwa mtoto wao.

     
  • Tarehe Tue Apr 08, 12:12:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Mungu atamsaidia mtoto Samweli na atapona kwa jina lake mwenyezi kwani kwa Mungu hakuna lishindikanalo. nawapa pole wazazi wa Samweli nawapongeza kamati ya afya Mungu azidi kuwapa nguvu na maisha marefu.

     
  • Tarehe Tue Apr 08, 02:49:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous

    Pole sana Mr & Mrs Nkya. Namuombea mtoto Samwel apate nafuu

    Mama Malaika
    UK

     


Idadi ya watu
eXTReMe Tracker