SERIKALI imeingilia kati na kuikopesha Kampuni ya Reli Sh bilioni 3.6 ili kuiwezesha kulipia mishahara ya wafanyakazi wake kwa miezi mitano na kumaliza mgomo ulioanza wiki iliyopita.


Akiwahutubia wafanyakazi hao jana Dar es Salaam, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani alipokuwa akihutubia wafanyakazi hao jana), alisema kuanzia wiki hii wafanyakazi hao watalipwa malimbikizo yao ya Machi kupitia Wizara ya Uchumi na fedha; na kila tarehe 20 ya mwezi, jambo ambalo liliwafanya wafanyakazi hao wamshangilie huku wakilitaja jina lake. Habari kamili bofya hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. What's up for the long term ?
    Are we going to finance every public sector privatized, once it does have financial problem ?
    Are we debating these issue in parliament, that is the democracy, we cannot just hand out money to the private sector/wawekezaji every time they are in trouble ?
    Most importantly, they should have release their financial books to the general public to see what went wrong, if anything went wrong? again this is just a normal procedure. What are the guarantee in paying back all this loans to the government or it is just a free loan nothing attached to it, ie penalties, ?

    We are patiently waiting those six months ? and I SINCERELY HOPE THE COMPANY IS PICKING UP, AND MAKING PROFIT TO SUSTAIN THE DEVELOPMENT OF OUR RAILS AND THOSE WHO ARE SAVING IT, and this raise another question what are their strategy in helping and developing our rails network.

    Since our money, government money learnt onto the company, the pressure should be asserted to the TRL, to reveal their strategies on how their going to develop it in a long run, or it is just a bunch of clueless or may be not, coming from oversee to rip benefit and squander our wealth and go back home to INDIA, on their big pay out. I have a feeling, we are acted upon, I HOPE I SHOULD BE PROVEN WRONG....I SERIOUSLY DO, because it wont be a good outcome for our own good.

    Mazengo Pinda, this is a big decision looking good on the outset, just for a while but it is going to come back and haunt you big time, if those legitimate questions were not properly set at the beginning, when you met their TRL executive in your office. The public wont forgive you. DO YOU KNOW THAT?, this was a test and testimony of your leadership, and you should address those questions in parliament, again this is the normal procedure for any democracy, general public demand to know their public money where and how is spent.

    You solely put your head on the platter, the public wont hesitate to stump on it, and rightly so, if your judgment was blurred and lured by words of those TRL executives, in such a way that, you become incompetent in front of a big crisis like this.

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  2. Mzee Pinda nina uhakika makachero wako wanaingia kwa sana kwenye blogu yetu tukufu kuangalia sisi wapiga porojo tunasemaje.Mchangiaje wa hapo juu ameelezea kwa ufupi lakini inaonekana ana upeo mkubwa wa haya mambo.Messsage utaipata.Kulikuwa na ufisadi hapa vile vile usiingie kichwa kichwa.Nakushauri tu sikulazimishi ufuate ya wanablog.Mungu ibariki Tanzania.Kidumu chama cha mapinduzi.

    ReplyDelete
  3. Wawekezaji wamekopeshwa na serikali? Kweli bongo tambarale

    ReplyDelete
  4. This is made in Tanzania you cannot find it anywhere else. I cant believe my eyes for sure; these people we have given them a deal at az thro awy price yet kodi yetu inatumika kuwapa mkopo ambao hatujui hata riba ni ngapi kama ipo. Binafsi sielewi kama nchi inaelekea wapi maana balaa moja halijaisha laja jingine. Mungu ikia kilio chetu walalahoi;

    ReplyDelete
  5. Niliuza duka langu kwa Mhindi. Mara wafanyakazi wake wakaja na madai ya kutaka kupandishwa mishara.

    Mimi kwa kuwahurumia hao ndugu zangu, nikaona ni vema niwalipie hayo ya kupandishwa mishahara!

    Hata wakati wa ujamaa, Nyerere aliamua kuwa shirika la umma likishindwa, ni afadhali lipotelee mbali!

    Tunaona kuingiza ujamaa kwa mlango wa nyuma, kama Amerika inavyofanya kuhimili mabepari walaji wake wa hivi majuzi hapo Wall Street, au Savings and Loans Associations!

    Huyo Mhindi mwekezaji kweli! kwanza halipi kodi hadi atakaporudisha gharama ya uwekezaji. Tunamsaidia kuwalipa wafanyakazi wake! Akirudisha hiyo gharama yake, atafunga mizigo kwa kisingizio kuwa reli sio economically viable!

    ReplyDelete
  6. These people were supposed to submit their books of accounts to the financial institution to secure a loan at a reasonable market interest. Banks are there for that purpose. So Pinda what will happen if Richmond employees will strike with the same demand. As this is tax payers money are they going to repay the same 3.6bn? Then if they will not catch up in 6 month what is the strategy.
    mdau

    ReplyDelete
  7. So Pinda what messege are you sending to other investors?
    Tigo, Tumaini University, Aga Khan hospital, IPP Group, Moven Pick Hotel na Mama lishe nao waje kuchukua fungu? Au unadhani kwao hawa kuwalipa wafanyakazi sio challenge kwao???

    ReplyDelete
  8. This is too much bwana!Ina maana hamna wawekezaji wengine wenye uwezo wa kuiendesha TRL? Kwa mtaji huu ndo tunafungua njia kwa wawekezaji vihiyo,si bora hata angekuwa ni mzawa???Ooooops!

    ReplyDelete
  9. TRL has just been privatized about a year or two ago but what really suprises me is the fact that the new owner has to be loaned by the goverment just because he said he is financially unstable.This crap was to be knowned before even selling TRL to these wadosi.
    This is what piss me off with Tanzania gov officials, CCM. Believe me there were abled Tanzanians to buy the company but still CCM sold it to mdosi. We should odopt the uzalendo,uzawa, policies like what Idd Simba was suggesting and quit praising, honoring and letting wadosi and foreigners run our economy. This mentality wont get us nowhere CCM. Mtanzania within his only country is treated as a second class citizen just because of our goverment officiuals arrogance. They beleive an idegenious has to live with kilimo only and commerce be left to wadosi and foreigners
    The truth of the fact is if you wanna find out where the ufisadi money went to you wont be suprised that most of it went to wadosi or foreigners.
    Jamani hata kama viongozi wa bongo, CCM, mnaiba basi kula na ndugu yako wa kibongo na tuachane na uduwanzi wa kuwadhamini wadosi na wazungu kwani moto ukiwaka mvua inawenyeshea wenyewe na wala sio hao mliowakweza. Kwa mfano mdosi wa Richmond bado anatanua TX wakati viongozi wahusika na kashfa bongo chupi zimebana.

    ReplyDelete
  10. Hakika huyu bwana amepinda kama jina lake lilivyo manake hiki ni kituko - mwekezaji unampa mkopo?

    ReplyDelete
  11. Nimestuka hawa jamaa wanatuletea picha la kihindi haiwezekani umsaidie mwekezaji kulipia wafanyakazi wake mishahara kwa maana hiyo Serekali inakubali kwamba inafanya jambo kabla ya kufikiria mbeleni au ni mtu wao wamemweka hapo kama kivuli kwa maslahi yao binafsi kama vipi hata mimi nina wafanyakazi wangu wananidai sina pesa ya kuwapa waje wanisaidie kulipa nimekubali Sirikali hii inaongozwa kwa rimoti

    Katochi

    ReplyDelete
  12. Ama kweli hili ni picha la kidosi, stelingi ni Amitabh Bachan, Shash Kapoor, Amjad Khan na wengineo. naona kama vile niko Drive inn cinema na nisharuka ukuta kuona hilo movie ua Empire cinema, Empresso, Odeon na Camaeo.
    Hili ndio picha lenyewe ama kweli bado tuko nyuma na bado tuna mentaliti ya kuwatukuza wahindi kwani nakumbuka bongo wakati huo ukitaka movie ni lazima iwe ya kidosi na hiyo ndi autin yako na demu wako. Hizi ndio sababu za wadosi kutuzidi akili kwani wanadhani kuwa wao ndio wametufanya tu.we sivilized kutokana na wao kutuvisha kwani unakumbuka fundi cherehani na fundi viatu wa mwanzo kukushonea kaunda suti au chonglai na safari buti alikuwa mitaa ya kisutu wakati huo shirika la Bora linashidwa kumtengenezea mtanzania kiatu.
    Najaribu kuwarudisha nyuma ili kuona mdosi katokea wapi bongo na anaelekea wapi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...