wakwe kwa fasheni tu hawajambo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2008

    sio waganda hao???

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2008

    ah!wakina mama wa uganda kwa hili
    mimi nawapigia saluti na vazi lao la heshima
    Hila cha kushangaza Rais wao M7
    hajui kuvaa hile kofia lake la kuchunguia ngombe mwizie Bush anavaa hakiwa ZIZINI kwake Texas lakini Rais M7 heti ndio anapokelea wageni wa kitaifa jamani!!!ushanba gani huu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2008

    Kaka michuzi mbona twatafutana ubaya?! wengine sie watu "wazenji" macho yetu yalivyo "selective" yameona kwengineeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2008

    Bablii umeona nini? mugongomugongo eeenh?
    wee mtundu kwelii!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2008

    sio mtundu! kule nyumbani wanasema
    "weye chepe!"

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2008

    BABLII UCHU WAKO WA UFUKARA USIWASINGIZIE WAZENJI TAFHADAHLI KWANI HATA MIMI MZENJI SWAFIII SWAFIOOO... KWAHIYO USHINDWE NA UTETEMEKE HAPO ULIPO

    ANONYMOUS WA PILI,KOFIA LILE KAMA LA MACOWBOY ANANISHANGAZAGA SANA M7,ANA USHAMBA WA NAMUGONGO BADO!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2008

    Mimi mswahili lakini nasema
    Banange wakyala balunji nyo
    Samahani twaanza kusahau Luganda

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 27, 2008

    wewe anonymous hapo juu,sio ushamba,hiyo kofia ni bullet proof,watu wa northern uganda hawampendi & yeye anajua ndo maana anajilinda,nshamba ni wewe,kumbuka jamaa mwanajeshi

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 27, 2008

    Ssebo Michuzi, webale nyoo okutuweleza ekifananyi ekirungi, ekilaga abakazi abaganda ne Gomesi zabwe. Kakati gwe alimukodomi? Anti ogambye mu luswahili " wakwe ".
    Bwonaba nga oli mukodomi waffe, ndabira nyoo mwanyinaze.

    Mdau Cologne

    NB: kwa wasio elewa kimobo: nimemshukuru kwa picha hiyo ya wadada wa kiganda na vazi lao la gomes, nikamuuliza kama ni shemeji yetu, na kama ni ndiyo basi akamsalimie dada yetu.
    Ni mimi mdau wa Cologne

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 27, 2008

    Wamama wa Uganda wanapendeza sana na hili vazi. Popote ukiwaona vazi linawatambulsha. Wish na sie watanzania tuwe na vazi letu na litangazwe kitaifa na kimataifa. Nanyori, Arusha.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 27, 2008

    Wenyewe wanaita Gomesi kwa kweli akina mama wanapendeza na vazi hili. Mnyumie nyoooo bhambi!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 27, 2008

    anon wa arusha wa 8:42 ina maana hujui kuna vazi la taifa au?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 27, 2008

    wengine tunaita (body,bogying,gomes) banyabo munyilide nyooooo, mbagala mwaaaa

    wanatambulishwa kwa wazi lao la kitaifa inapendeza kuwa identified kwa kitu fulani tofauti na wengine misuti tuu

    lazima tujivunie mavazi yetu ya kitaifa

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 28, 2008

    ha ha ! eti bullet proof, si avae helmet basi ili kujikinga zaidi .
    kofia yake ndo fasheni yake, iwe ushamba ua ujanja anajua yeye .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...