Home
Unlabelled
fulanazzz....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mr. Michuzi, I am a Tanzanian, and you have written about me before,and getting a chance to read the pathetic comments today. It is the first time I am visiting your site and like your T-Shirt.
ReplyDeleteI will be returning to Tanznaia, and would be more than happy to get for for you a similar T-shirt. Let me know if you are interested
BRO MICHU TAFUTA JOKE NYINGINE HIYO FULANA IS TOO MUCH,HYGENICALLY NOT SAFE, AND DISGUSTING TO SEE YOU WEARING SAME THING EVERY DAY, IM SORRY LAKINI NAHISI HATA CHUPI UNAIGEUZA NDANI NJE ILI UPATE SIKU NYINGINE....NASIKITIKA SANA NA UCHAFU WAKO!HUO NI UHUNI.
ReplyDeleteHebu Tuambie Watanzania wangapi Wamekufa South au Waana hali Gani Acha Kuturingia Na Utalii wako
ReplyDeletebro michu kwani hizo fulanaz unazo dazeni au ndio kauka nkuvae mi najiuliza sipati jibu hebu nihabarishe basi
ReplyDeleteMtoto wa karikoo naona life umeipatia. Sijui kama daily news inalipa kwa photographer au una biashara na kazi nyingine ambayo sisi wana globu yako hatujui. Je wewe ni usalama wa taifa au you just a snitch.
ReplyDeleteTATIZO LETU WATANZANIA ATUIBI MTAJI,TUKIZIFUMA TUNATAKA MPAKA WAJUKUU WAZIKUTE,SASAKAMA WEWE MICHUZI SIJUI UMECHOTA NGAPI MANAKE MATUMIZI YAKO SIYAKITOTO NAKUMAINDI.
ReplyDeleteKaka Michuzi kama vile ulikuwa umetoka kupata supu ya asubuhi pale mto wa mbu na nanilii moja ya kuzimua.Shekhe nasikia unatumia maji ya rangi ya mende(Just Kidding)
ReplyDeletewatu msiwe narrow minded namna hiyo, huyu jamaa ni mwandishi wa habari sasa mlitaka akae sehemu moja?
ReplyDelete