Habari hiyo hapo chini inapatikana pia www.nukta77.com sehemu ya "Ukumbini"


Ad-Aware ambayo ni toleo la Lavasoft's la anti-spyware/anti-adware
linapatikana bure kwa sasa. Katika toleo hili, UI na anti-virus vimeboreshwa na kuwezesha kutambua nyendo mbovu za virusi, spyware na trojan wanaojipanga kuvamia kompyuta yako.
Orodha ya yaliyoboreshwa katika Ad-Aware 2008 ni pamoja na:
Improved Threat Detection
Enhanced Rootkit removal system
Faster Updates & Faster Scans
Less Resource Usage for optimal computer performance
Easy to Download, Install and Use
Lavasoft ThreatWork submission tool
Ipakue Ad-Aware 2008 Free hapa
Toleo jingine la bure la anti-virus lililotolewa miezi kadhaa iliyopita ni:
Spyware Doctor 5.5
Type: full commercial application
Platform: Windows 2000, Windows XP, Windows Vista
Manufacturer:
PC Tools
Size: 25.3MB
Price:Free full commercial download
Download

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2008

    Well good Michuzi kwa kutolea watu lavasoft product lakini naomba urekebishe pale unaposema totally free kwani sio totaly free.
    Nikweli kunabaadhi ya features ambazo ni free ambazo ni engine na updates. But ukiinstall free version hupati autoscan na autoupdate sio free ambavyo ni muhimu sana.

    but kiufupi natumia same product ambayo nimenunua ni safi sana.

    G7
    UK

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2008

    Naomba kuuliza, je niki install hii software nitahitajika yena kutumia software kama norton antvirus?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2008

    HI ASANTE KW AHABARI NZURI MDAU ALIYETANGULIA NAONA AMEZUNGUMZA KITAALAMU VIZURI MIMI NIMEJARIBU KUIDOWNLOAD LAKINI IMEKUJAMSG KWAMBA HII OFFER HAIKO KWENYE NCHI YANGU BASI WEWE ULIYEIEKA NAAMINI UMEWEKA KWAAJILI YETU SASA KAMA HAPA HAIPATIKNI TUAMBIE NI NINI LA KUFANYA ILI TUIPATE
    MDAU

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2008

    Well najuwa mimi siye msemaji wa product hiyo hapo but nadhani naweza jaribu kujibu suali la jamaa hapo juu kwamba akiinstall je atahitaji anti-virus?

    hili ni basic question: jibu lako nikwamba malware zipo za aina nyingi (virus, spyware, worms, trojans etc) ingawa unaweza kuwasqueze kwenye group mbili ambazo ni virus na spyware kupitia jinsi ya kusolve them.
    Kusolve Virus utahitaji anti-virus na spyware utatumia antspyware kama hiyo adaware.
    NoTE: kulingana na tatizo la spyware kuwa kubwa siku hizi tangu internet iwejuu .. some Antivirus products zinawekwa na engine ya antspyware. So ukinunua norton, makafe,Fsecure,Trend, na zinginezo mpya tayari zitakuwa na anti-spyware.
    But Anti-spyware products hazideal na Virus kabisa so. Lazima ununue Norton or any hatakama utatumia hii product na antispyware tools zingine.

    Jamaa mwengine kasema hawezi kudownload from aliko, may be lakini nakumbuka nilifanya downloading from TZ and it was fine.

    All the best,
    G7
    Uk

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2008

    Mimi nipo USA na natumia AVG na ni free. Ni nzuri sana nilikua na waste my money kwa mcfee na norton but this one is nothing but miracles.

    Na wee unayeuliza ni kuwa ukiwa na hii basi software nyingine uondoe..huwezi kuwa na antivirus software mbili kwa wakati mmoja kwenye PC kwa hiyo kama norton yako ikiexpire we wala usirenew. Iondoe kabisa tumia hiyo kama wanakubali nchini mwenu na kama uko USA google AVG ..utasave hela sana au nenda CNET.com ina mambo mengi sana ya free .....

    ReplyDelete
  6. Hi wadau wa 'globu ya jamii', poleni na samahani. Kweli watu wawili walinifahamisha kuhusu Ad-Aware kuwagomea kutokana na eneo waliloko, nimeipakua na kuibebesha kwenye tovuti ya Driveway (web serv for sendinglarge files) na linki yake ni hii: http://www.driveway.com/r0e7×8o6e8 ipo kwa jina aaw2008(2).zip

    Mdau wa May 26, 2008 10:13 PM
    Ndiyo, utahitaji kuwa na anti-virii nyingine ili kusaidia kupunguza uwezekano wa kudhuriwa na virusi. Zipo za bure na zinazofanya kazi vizuri mfano: AVG, Avast, Avira, nk unaweza ku-google ama kutumia linki hii: http://www.techsupportalert.com/dr/best-free-anti-virus-software.htm (TechSupportAlert)

    Asanteni wadau kwa maswali na mchango mzuri mliotoa ili tusaidiane.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2008

    Jamani unavyowaambia watu wanatakiwa kuwa na antivirus nyingine sio kweli. Ukiwa na antivirus mbili kwenye system moja zinacorrupt na computer inacrush sana na hata haitakuwa zinafanya kazi tena. Kwanza Norton ni lazima uiondoe kwenye key registry ukitumia tu njia ya add/remove proram wala haiondoki yote. Inakua usumbufu tu

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2008

    well nadhani hapa inatakiwa kueleweka kwamba product za spyware nyingi hazina anti-virus engine. nakama ambayo unatumia haina anti-virus then lazima uwe na antivirus nyingine kwani hii sio anti virus bali ni anti-spyware.

    But nimeona baadhi ya hizi adaware zimekuwa included na anti-virus within so hitaji kuwa na antivirus ingine just uninstall it.

    regards,
    G7
    uk.

    ReplyDelete
  9. Asanteni kwa kunielimisha.
    Nime-google 'installing more than one anti virus in one computer' na kupata maelezo ya kukidhi haja.
    Wadau tafadhalini wasikizeni wataalamu wanaposema kuwa si vizuri kuweka anti-virus mbili kwenye kompyuta moja.
    Mi nilidhani ni sawa tu sababu laptop yangu ilikuwa nazo mbili (AVG + Ad-Aware SE). Nilipataka kasheshe moja ya 'blue screen of death' ingali anti-virus zilikuwemo, sasa ndiyo nimeng'amua sababu yake na nimejielezea kirefu kwenye: http://ukumbi.wordpress.com/2008/05/29/antivirus/
    Shukran!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...