hii ndio kicheni katika hoteli ambamo mdau john kitime alifikia huko kigoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2008

    duh hhiyoo kali. Tunaambiwa kuwa kuna kiingereza cha uingereza, cha marekani na cha australia. Hicho ni cha Tanzania ya JK. thanx wadau.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2008

    Mweeee!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2008

    Hahaaaaa, ndio ile ya mzungu aliyeuliza, Where is John? jamaa wa kiswahili akajaribu kiingereza chake.
    "John is here here" John yuko hapa hapa, mzungu kaachwa kwenye mataa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2008

    Labda ni ki-faransa Kigoma ni karibu na Rwanda/Burundi hao wanaongea ki-faransa

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2008

    Duh...kaaz kweli kweli..no.. Job true true

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2008

    napata wasiwasi na huyo bwana john viwanja alipokuwa anafikia yeye!!!duuuuuh!kwa kweli hapo ni soo sijui hata ni Kigoma sehemu gani ati!!!???

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2008

    Kwa hoteli hizi kweli ataacha kuuziwa BURT?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 27, 2008

    Sisi wa kutoka Kigoma, shauri ya migebuka, hiyo lugha ni kigomenglish (sawa na creole ya sehemu za Sierra Leone na Liberia).

    imetundikwa na mpishi mwingine: Top Cheerful Cook!!!!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 27, 2008

    Kitime alikua kigoma vijijini,mimi nimezaliwa kigoma Mjini,watu wameendelea sana,na kuna ma Hoteli makubwa ya kitalii tena yapo kandokando ya Lake Tanganyika,na yana hadhi inayo eleweka,sasa hapo alipo fikia kitime,ni sawa na hoteli zilizopo Vingunguti,kila mahali pana sehem kama hizi zenye maandishi yenye utatanishi, we mnyalu usitake kutuona wakigoma kua hatuna vitu vya kisasa.

    ReplyDelete
  10. SAFI SANA.LUGHA NI MATAMSHI YA NENO AU NENO LINAVYOANDIKWA?KAMA VYOTE NI SAWA BASI HAKUNA NONGWA.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 27, 2008

    Sasa huyo bwana Kitime ametembelea maeneo gani hasa huko Kigoma isije kuwa amepita chocho kwa chocho hata mjini hajafika!manake hata sisi tunaoishi hapa Kig mjini hatujui hiyo hoteli ya bwn John ipo wapi jamani!!Hebu atusaidie maelezo ya kutosha kwanza!!!!!
    Duh we John na viwanja vyako ni kiboko!Inaonekana hata Kijimgahawa cha kawaida tu kama Sun city hapo Kig mjini haukifaham!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 27, 2008

    Weweeeee. TO do you do you, to say you say me!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 27, 2008

    MZUNGU LUK MI MAYI MILKI IS STENDINGI,PLISIIII.5 DOLA

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 28, 2008

    Naona Kitime umekuwa reporter wa Michuzi sasa mambo ya muziki yekushinda nini.. si ufungue na wewe blog yako tu ..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...