mnara wa kumbukumbu ya ajali ya mv bukoba uliojengwa maeneo ya bwiru, mwanza
mdau miriam makalla wa chuo kikuu mtakatifu agostino huko nyegezai mwanza katutumia picha hizi kutukumbusha waliopoteza maisha katika ajali ya mv bukoba iliyotokea miaka takriban 12 iliyopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2008

    MAY YOU REST IN PEACE! NAJUA MTU ALIYEPOTELEWA NA NDUGU ZAKE WOTE...UWIIIIIIIIIIIIIIIII UWIIIIIIIIIIIII!!1

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2008

    RIP i know a teacher at BUTIMBA COLLEGE who lose his wife and two kids. Jamani that was really sad i was only 8years old but can remember each moment of how bad it was.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2008

    yaani jamani....i remember my neighbor Kabula had just graduated form six Rugambwa girls....it was hard, very hard! RIP Kabula and all the Rugambwas who lost their lives.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2008

    oooh nimekumbuka mbali jamani,hii ajali ilinmpoteza shangazi angu pamoja na mtoto wa ma mdogo.yani inauma kweli lol!!
    MUNGU awalaze mahali pema peponi!!kila nikikumbuka hii kitu nalia sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2008

    Mungu walaze mahali pema peponi. Hakuna ajali nzuri kwa hiyo siwezi sema ilikuwa ajali mbaya ila napenda kulaani ajali ambazo mara nyingi zinakuwa zinaweza kuzuilika lakini kwa uzembe wa baadhi ya watendaji wetu wanasabisha maafa kama haya japo yameshatokea mengi hasa yanayogharimu maisha ya watu, hasa ajili za barabarani. Kuna haja ya kutafuta njia mbadala za kuzuia ajali kama hizi.

    Mimi
    Sipendi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2008

    Its been 12 years and the wounds in our hearts are still painful.May the Mighty Lord Rest your souls in Peace.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2008

    Hii inatukumbusha majonzi watz wote tuliyoyapata siku ile.Pamoja na hayo hivi huu mnara unaanguka ama ndivyo ulivyotengenezwa?Maana upo upande.
    naomba wahusika watunze hii kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...