katika pitapita zetu ngorongoro crater leo tumekutana na jamaa huyu wa mtaa wa msimbazi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2008

    Wee!Kaka Misupu si ulimshika yule
    Simba wa ICC hapo A-Town ukusema wala hatafuni haya huyo mwingine
    jaribu kumsogelea!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2008

    Wewe ndio unajua ufisadi wenzako wana JIBALALI wewe unatumia tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2008

    Nimekumbuka enzi zetu KIBOSHO tulikuwa tuna field trips za Ngorongoro na maeneo mengine ya utalii, it was fun na tulijifunza mengi, ambao hamjapata nafasi ya kutembelea maeneo kama hayo jaribuni kufika tumejaliwa TZ.THANKS

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2008

    hivi jamani hao simba wamezoea watu sana nini?maana watu wapo kwenye magari tena juu pako wazi lakini simba hana hata mpango.sasa alikurupuka ghafla itakuwaje,kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  5. yaani hapo tu mi ndipo ninapoikubali tz..kudadekiiiii...asili imetulia kinoma!!!ila tukiangalia channel kama 'animal planet' hivyo vitu vyote wanasema vipo kenya...haya misupu kazi kwako.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2008

    MIMI NATAKA SIMBA ADONDOKE NDANI YA GARIKWA BAHATI MBAYA TU! KITAKACHO FATA MHU!
    MULOX

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2008

    SIKU HIYO KINA MICHUZI WALIPOTINGA NDANI YA NGORONGORO CRATER NA VIONGOZI WAKUU WA NCHI YETU NA PIA WATU WA ATA, MIMI NILIKUWA NDANI YA CRATER NA WATALII WANGU, KWA KWELI WATANZANIA TUNATIA AIBU SANA MANAKE KINA NANII NA VIONGOZI WETU WA NCHI NDANI WALIPINDISHA SHERIA YA HIFADHI SAAANA KUSUMBUA WANYAMA KWA KUENDESHA MAGARI OFFROAD NA KUKANYAGA MAJANI WAKATI DEREVA WA UTALII AKIKNYAGA MAJANI FAINI NI DOLA 50,JE NAULIZA HUU NI UUNGWANA?

    BALTAZAR
    KIPEPEO TOURS

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 24, 2008

    Michuzi dont tell us that you were in one of those safari vehicles jee unataka kutuambia kuwa unamuogopa huyo NYAU

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 24, 2008

    Mai waifu zake hawakuwepo hapo?Wale ndo noma,waulize pundamilia,nyati,nyumbu n.k wee acha tu.Juzi nilipita mbugani safarini nikaambiwa ni low season,wadhungu siyo wengi.TRUE OR FALSE?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...