Hello Kaka Michuzi,
Habari yako. Naomba msaada. Naomba unitangazie kwa blog yako huyu mtu anaitwa Aston Kabeta (Tonny Kabeta).
Nina ujumbe wake muhimu sana. Number ya simu aliyotoa ni +1 267- 230 - 3999. Tumejaribu kupiga hiyo simu na anayepokea simu katika number hii hamjui huyu Tonny au Aston Naomba tafadhali uniwekee jamani hii ili kama kuna mtu anamfahamu au yeye mwenyewe akiona basi awasiliane na mimi. Nina ujumbe wake muhimu sana.
Asante sana na Mungu akuengezee kwa kazi hii unayofanya
Sara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2008

    huyu jamaa nilimuona miaka kama 2 iliyopita.Lakini sasa sijui anapatikana wapi?lakini mmmh

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2008

    Huyu jamaa ametoa area code ya PA,USA kama unamjua mtu huko anaweza kukusaidia,i wish ningeweza kukusaidia zaidi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2008

    Nilionana na mke wake jana na nikamwachia ujumbe kuwa kuna ndugu/jamaa yake anamtafuta.Saralin subiri utapata majibu.Usiwe na shaka.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2008

    poa wadau, jamaa ananidai so tafadhali kama unacontact zangu kaa kimya? nitamlipa mambo yakia sawa nyie si mnaona wenyewe mambo magumu sasa siku hizi. ila i promise nitamlipa mi sio mzurumaji sema nimechelewa tu kulipa na jamaa mwenyewe ndo anadai hadi hadi kupitia blog si noma hiyo jamani

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2008

    Kweli bado naomba msaada...hizo email ninazozipata kama ni yeye ananiandikia...I am speechless....I can't believe this...Lakini kama sio yeye anayewasiliana na mimi basi Aston please tuwasiliane haraka email yangu hiyo apo juu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...