keki maalumu iliyotengenezwa na wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa africa travel association unaomalizika ijumaa hapa a-taun katika kudhimisha siku ya gemu. mliobenjuliwa poleni na mlioshinda hongera zenu. ila dah! nyie mlioshinda fundi wenu noma... besela mara tatu???? mani yuuu mnatisha!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2008

    na bado..

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2008

    Mh...Hongera Man United...Lampard ametuangusha anahitaji kuachia ngazi ukapteni wa England....

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2008

    Mambo ya kijinga, fundi Europe, Magoli ya Tevez yalikuwa sio kitu ila mabesela tu ndio yalitakiwa kuwa magoli!
    Man U worked so hard this season, played like a team, not those one who work hard when they meet Man U, and draws with Bolton at the end!
    Anyway U r free to say what U feel but need a bit fairness!
    Thanks 4 ur appreciation.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2008

    bro misupu or michupi or mishuzi dahhh nakosea kwa furaha sis tunafukuza rekodi za bwawa la maini na chelsea wanakimbiza upepo na hakuna kwa kuupata kazi wanayo kweli kweli.kama kawaida sisi maneno sio mengi ni vitendo na wameakikisha

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2008

    Edwin van de Saar baba! Nicholas Anelka kajisikia vibaya sana leo. Huu msemo "utajisikia vibaya sana!" alipenda kuutumia mwalimu wangu mmoja wa biology Old Moshi sekondari miaka 20 iliyopita, akiitwa Mr Mdee. Alipenda pia kusema "the nature is not so kind!". Leo Chelsea wameyaona, Drogba kupewa kadi nyekundu, na Anelka kujikuta penati yake ikipanguliwa. "Wa mbili havai moja", ona licha ya Ronaldo kukosa ile ya kwake, bado mwishowe amebakia upande wa washangiliao!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2008

    utakufa nalo jiba la roho
    wanaume hao wamejitwisha
    mawili kapuni mloishia kunawa poleni

    man u for life

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2008

    FILIFILI LA UHOGO,WAUKALA MUHOGO yaaniUkiwa umekosea usiwe na Hasira.........

    Michuzi habari yako mkuu,najua unakawivu maana mlishindwa kufika Moscow this time.MAN U wapewe heshima yao kama timu nyingine usibane kama umeamuua kuiita hii ni blog ya jamii,wape watu habari kamili na zakueleweka.huruhusiwi kubania baadhi ya habari especially za soka maana zina wapenzi wengi duniani.Maendeleo ya taifa cup vp?ni hayo tuu
    MAN U 2008 CHEERS FOR THE DOUBLE CHAMPIONSHIPS.RONALDO MMHHHHHHHH VYAKE TUSIHESABIA MAANA TUTAWANYIMA WATU UHONDO.TOP SCORER PREMIER & CHAMPS LEAGUE?HATARI,MNYIME SASA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA.
    Bwawa la maini,washika bunduki,vijeba chelsea hamtaweza mambo ya DOUBLE DOZ.JIPANGENI VIZURI MISIMU IJAYO.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2008

    SIKU ZOTE MAN. UTD HUWA SIO WATU WA KUONGEA SANA NI WATU WA EKSHENI TU KAMA ILIVYOJIDHIHIRISHA JANA. POLENI SANA WATU WA DARAJANI,BWAWA LA MAINI NA WASHIKA BUNDUKI ZISIZO NA RISASI. JIPANGENI UPYA NEKSTI SIZONI ILI MJARIBU KAMA MTAWEZA!
    MAN UTD 4REVER!
    ALLY"GOAL GETTER"ODA WA DSM

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2008

    Hahahah kaka Mithupu!! Una shida weye......Man utd haina fundi kaka nakuonea huruma manake utaumia mpaka may next yr inshalaah!! Nilijua utatoa news fupi kuhusu ubingwa wa man u ila picha nzuri ya kuweka iko The Sun la UK mkuu,nakuonea huruma na wenzako waliokata umeme wakidhani wameukata Moscow kwenye mechi kumbe ni dar hahahahhhhh. Glory Glory Man UUU...Next season inakuja na maandalizi mapemaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2008

    MAN U USHUZI MTUPU HAMNA KITU

    SMALL BENITEZ

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2008

    MANJESTA NYIE MNAJIKONGOJA TU

    REKODI;

    LIVERPOOL UBINGWA UK MARA 18..MAN REKOD HIYO MTAIVUNJA LINI SHENZI NYIE?


    LIVERPOOL UBINGWA ULAYA MARA 5, MANJESTA MTAIVUNJA LINI HIYO REKODI, NYAMA NYIE

    its me SMALL BENITEZ

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2008

    MANJESTA NYIE MNAJIKONGOJA TU

    REKODI;

    LIVERPOOL UBINGWA UK MARA 18..MAN REKOD HIYO MTAIVUNJA LINI SHENZI NYIE?


    LIVERPOOL UBINGWA ULAYA MARA 5, MANJESTA MTAIVUNJA LINI HIYO REKODI, NYAMA NYIE

    its me SMALL BENITEZ

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2008

    Mithupu Vp 2pe Big Up Wadau wa Man U, Si umeona shuguli pevu ya jana, Tangu lini Aliyejuwa chini yako kwenye ligi ya nyumbani akutoe nishai kwenye kombe kubwa kama hiii, Man U oyeeeeee !

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2008

    Kaka michuzi najua wewe ni Liverpool lakini hii ni blog ya jamii mbona nilikutumia post ya build up to the final hukuweka about 3 days ago i am dissapointed! any way We the kings of europe,richest club in the world by earning £84million including adverts and sponsorships so madrid are way behind right now.We have the best player in the world who has proved his a big match player Ronaldo.We showed we can play beautiful football and ugly aswel.I Feel sorry for JT but some one had to loose! We will be back next year with a bang.Chelsea tumepiga panapo uuma!mlitufunga 3 weeks ago lakini sisi tumepiga muhimu. Abramovic showed he is realy a football man not just about money he was jumping all over , Drogba stupid stupid ,Penalt ya JT ilikuwa yeye ndio apige ! We are the champions we are we are the champions

    William uk (United for Life0

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2008

    Mi hapa nasubiri tu comments za Madau William (UK) nione atasema nini,

    Huyu jamaa nahisi ndie yuleyule Will alietajwaga na Manka Mushi.


    Posted by; Jamaa
    Posted date; 22/05/08

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 22, 2008

    we dont win matches.....rather we win trophies.....

    Man u!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 22, 2008

    aya Man u hili Man u kile kazi kwenu kaka michuzi tupe sifa zetu na sana kama bonge alivyosema "mpika majungu hana likizo" semeni lakini sisi kazi ipo uwanjani dawa kama kawaaaaaaa...MAN U 4 EVER.
    y.bantu

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 22, 2008

    The nature is not so kind.
    Chelsea walitazamia kupata ubingwa wa England kwa Bolton kufungwa na Wigan kudroo(HAIKUTOKEA).Ok,ngoja twende Moscow,Bahati nzuri Ronaldo kakosa penalt(tukajua tayari)kumbe ilikuwa bahati mbaya kwa Terry (ona sasa,mbona dunia iko ivyo yaani kila wanachofanya hakikamiliki)na balaa zaidi mpiganaji wao Drogoba nje.Ok,na Anelka je?anyway,Ronaldo kwake ni sawa tu akosee asikosee mambo yananyooka tu.kweli the nature is not so kind.Hata ivyo muhimu ni kujipanga upya na kuanza upya.Hongera Man U.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 22, 2008

    hahahahaaaa..... manake nacheka sannnaaaaa!!!!
    Wako wapi wale waliosema chelsea watatufunga mdomo tusahau kama tulishinda Premiership??
    Tumewaonesha vp mpira unachezwa jana sasa wamekaa kimya wamefungwa wao midomo hahahahahahaaaaaaaaa!
    Man United kiboko bwana wacha mchezo.
    Manake niseme kweli, ile furaha ya jana mpaka nime-overslept leo nikachelewa Uni jamani, wee acha tuu.
    Man Utd for life

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 22, 2008

    Unajuwa mabaunsa walikwenda kule wakitarajia fight ya kutumia nguvu, but wapi!!!!
    Fagie kapanga kikosi ambacho kina balack,joe cole, lampard, malouda na everyone kwenye middle leo hawakuonekana kama siku zingine. Just one tourch na munabahati first half tungemaliza kazi!!!!

    wakati tunapasha kule stanford bridge walisema or mmechanganyikiwa ndio maana mnapigana, LEO SEMENI LINGINE.

    mashetani, tena wekundu, ambao ni men, na tena wameunite....COMEOOOON.

    Trouphyless, mikono mitupu, vijeba hivyooooooo!!!!


    G7
    UK

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 22, 2008

    MANCHEEEEEEEEEEEEESTAAAAAAAAAA YUNAIIIIITEEEEEEDDDDDDDD



    MTAKUFA NALOOOOOO,KIJIBAA CHAA ROOOOHHHHOOOO

    MTADJIDJUU!

    miss keys!

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 22, 2008

    Sikujua kama Michuzi huwa unashabikia Chelsea. Kulikoni umeshindwa kutuwekea picha nzuri na badala yake ukaweka likeki ambalo halina hata mvuto kiasi kwamba hata kuiona post yenyewe ni kazi. Ulitakiwa utuwekee picha za wachezaji wakiwa na Kombe lao si unajua jinsi Red Red inavyovuta macho! Ungekuta hapa kuna comments za kumwaga, lakini umeamua kutubania poa tu. Utakufa nacho lakini Man U ndo haooooooooooo na makombe 2 wakati wengine wanapiga miayo kwa kukosa kombe hata moja!

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 22, 2008

    Mhhhhh kazi kweli kweli maana wazee wa kazi wamefanya vitu vyako walijua walivyotufunga zile goli mbili kwenye premiere league ndio watakuja kutunga na FAINAL mmeula wa chuya mlijua MAN U hamna kitu pale na tatizo letu mnaongea sana kupita kiasi mimi mpenzi wa MAN U lakini jana hata chelsea angechukua sio mbaya maana hicho kikombe mnakisikia kwa jina hamja wahi hata kukishika na nilichofurahi zaidi MAN U kuchukua tatizo lenu mnachonga sana tena sana hasa hasa na yule kocha wenu kibabu mnaongea kupita kiasi ndio maana mwenyezi mungu kawapa adhabu si mmeona MAN U jinsi walivyotulia nyinyi kila siku ohhh mtaona FAINAL tutakavyowafunga sasa yameishia wapi hamna popote mlipofika mmeishia kuabika bila mpango mlise premier wamependelewa la lefalii sasa jana nani kapendelewa penalt na zenyewe lefalii kapendelea achane mambo yenu kama mpira hamjui kabisa na hamuwezi kuwafikia MAN U forever na kuongea punguzeni kwanza fanyeni vitendo sio mnaongea alafu mpira mguuni hamna kitu sasa nadhani jana ndio ilifika solution ya kwamba CHELSEA hamuwawezi MAN U kwa mpira hapo sasa mmeamini nyinyi wenyewe sasa kaeni chini na muanze tena kujipanga upya na kuongea punguzeni kabisa maana mnaongea alafu mnafungwa.hahahahahahahahaha MAN UUUUUUUUUU kama kawaida viwili kwa mpigo ok poa hata hapa naona waliochangia mada ni wadau wa MAN U tu hahaha CHELSEA mpo wapi mbona hamuonekani hahaha ok poa lakini mlijitahidi drogba kapigwa kadi nyekundu na kawafungua goli 10 alafu katolewa na kadi nyekundu maana uyo drogba wenu utazani anajua mpira akipata vichance vya kuvizia anafungua alafu mnasema anacheza vizuri fananisheni kwanza mpira wa adebayo na drogba alafu angalia nani pale anacheza mpira adebayo anatoka nyumba kutafuta mpira anakuja mpaka mbele na kufunga sasa drogba anakaa anasubiri aletewe mpira ndio afunge sasa huyo mtasema mchezajiii?????Ok lakini jana mmejitahidi sana.

    MAN U.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 22, 2008

    Tuliposhinda Premiership tuliambiwa watu hawalali mwezi mzima.....
    Hahahahahahaaaaaa........
    Na leo sijui mtasemaje

    MAN UTD tunasema kwa vitendo.Tumewaonyesha jana how the football is played.
    Mtajaza tena huko kulobaki.

    Wakirudi Old Traford nataka niende nikashereheke na fans wenzangu.
    Kazi kwenu.

    ReplyDelete
  25. Michuzi wewe ni noma mdogo wangu! yaani unadiriki kuweka habari za MABINGWA katika mistari miwili? kweli wewe una wivu tena wivu MALYATENI kabisa! yaani wewe unaona tu magoli ya mwamba ila huoni cech alivyookoa goli la wazi kabisa!? na huoni magoli aliyokosa tavez"simba" hembu kuwa fair na spotive yaani kusema kweli game lilikua tight na hadio mwisho usingeweza kutambua nani anashinda ile game! mnachotakiwa kufanya sasa hivi vizabizabina ni kufunga midomo na kuwaacha mabingwa wazungumze mpaka msimu ujao utakapo anza!

    Nawewe uliyetoa maoni May 22, 2008 12:55 AM
    ni MWE!? BWE!? au nikuchanganyikiwa na kufungwa? Lampard kawaangusha nini na wakati amefunga peanalt? ulitaka avue kaptura? aliyekosa ni terry na punga Anelka! na unasema a step down u captain wa England lini amechaguliwa kuwa captain! au ndio mauza uza!
    THE REDS RULE MOSCOW! MAN U RULES EUROPE! WE ARE THE CHAMPS!
    GLORY MANCHESTER UNITED!
    Nihayo tu!

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 22, 2008

    Tatizo la mazoezi ya kugonga mwamba hayoooo

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 22, 2008

    eeee wamebana wameachiaaaaaa

    jamani uwanja ulikua wenu, mashabiki kibao walikua wenu kwani wa arsenal ,wa barcelona, wa af roma wote walikua upande wenu

    lakini mungu alikua upande wetu ,alex furguson mwanaume halisi halisia

    record hii mwanaume ameieweka tena wenye wivu kama wewe issa mjinyongeee tuletee manjonjo ya mechi humu usitubanie

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 22, 2008

    we issa tuwekee picha za ubingwa zenye maana bwana wamebana wameachiaa eeeeeee na wewe small benitez huna mpango

    michenga mingi magoli hamfungi,

    we are the man of actions sio mineno mitupu poleni sana wenye wivu mlitusimanga sana na michuzi ulishawahi kutoa picha tulivyofungwa 2-1 tena ukasema tulishindwa kubehev na drogba alishindwa kubehev pia

    unalo na usipotuonyesha wewe tutaangalia kwenye mitandao mingine

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 22, 2008

    Kimanumanu mmebebwa na refa jana, mnajua kuwa chelsea anamuua mtu dakika za mwisho kwa hiyo refa alishapanga vidic amchokoze drogba ili drogba apandishe atolewe, na pia aibu kwenu kama mabingwa kweli mbona mmeshindwa kumfunga chelsea na mtu kumi tu uwanjani. mmeshinda kibahati tu, ushindi wa penati si ushindi wa kujivunia.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 22, 2008

    Weee SMALL BENITEZ u don't know krapp!!!i wonder why they called you "small" especially galz hehehehehehe

    Its me Angie bby

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 22, 2008

    WADAU WA MAN U HONGERENI SANA
    KWA KWELI MLISTAHILI KUWA MABINGWA KWANI TANGU MLIPOANZA LIGI YA CLUB BINGWA ULAYA MPAKA FAINALI HAMJAFUNGWA HATA MECHI MOJA
    KWA KWELI NI MABIBGWA 100%
    WANAOONA CHUKI WAJINYONGE
    MUN U BIG UP
    ITS ME KAKA EO FINLAND

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 23, 2008

    kwanza natoa hongera kubwa kwa manu kuwa king of europe,sasa najiuliza sana kuhusu mechi ya jana baada ya kuitazama takribani masaa 2,je huyu jamaa wanaemsifia kuwa the best player in the world mheshemiwa ronaldo 42 goals(nearly half of them from set pieces either penalty or free kick)akimbilie kwa mtu essien ambae sio proper defender all night?nilikuwa nategemea atakutana na ashley cole kumuonesha lakini alimkwepa all day.na ndio siku yangu ya kwanza kumuona akicheza position moja kwa muda mrefu bila kubadilisha(2hours).i thought the best players has to face the best opponents to justify their status.katika muda wote aliokuwa manu ronaldo ndio kwanza jana kacheza nafasi ile siku ya kwanza,naona jamaa anamuogopa ashley cole.hivyo kwa mimi kanidissapoint badly.

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 23, 2008

    wewe anonymous may 22.5:54 huna lolote hujui mpira kabisa sasa nani kabebwa pale na kama chelsi wanaujua mpira mbona na wao hawajatufunha ndani ya dk 90 acheni kuropoka kama walevi
    na wewe michuzi wacha ushabiki wa kizamani nilijua unajua sport kumbe huna lolote ungetupongeza kwa kutoa picha jinsi watoto na kombe lao watu wote wametoa salutti ila wewe tu wacha ROHO YA KWANINI yaani umeniuzi
    MWANACHAMA WA MANCHESTER[4LIFE]

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...