mdau john kitime a.k.a jfk katembelea mwisho wa reli na kutulete hii kitu.anasema hapo ndipo maarufu kwa kuonesha gemu zote za ughaibuni pamoja na sinema zingine na pia pana disko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2008

    mh...hilo ndilo bilicanas la kigomaa!!watu pipoooooooooooooo

    kachiriii kataaaa,kachiriii kata


    'the man'

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2008

    Duh Jamani samahani labda kwa kuwa too observant... lakini New...Old... sijui tuchukue lipi tuache lipi, hii haijakaa vizuri..yahitaji umaniki kidogo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 24, 2008

    anon wa 6:31pm,... nadhani "old trafford" ni jina moja. Hivyo hiyo inaashiria hapo ni New "Old Trafford" , inaonyesha pengine mtaa wa pili kuna "Old Trafford" nyingine...
    Mi nimependa alivyochora kwa usafi kabisa.. inapendeza

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2008

    Doh!kumbe kwetu kigoma pia kuna Old traford!basi kumbe pameendelea,mimi sikuiacha hiyo,na nimeshindwa hata kuelewa ipo sehem gani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2008

    Looh jamani Kigoma siyo chovu kiasi hiyo hapo ni sehemu moja tuu uswahilini(kama Kigogo/Mburahati/Kinondoni shamba/Temeke mikoroshoni/Tandika Azimio vile) kwa wasioijua Kig vizuri na ndo mahala Mchekea kwa sie wenye maisha ya kawaida but kuna viwanja(sehemu za kujirusha) makini tuu pengine mkija viona mtakubali wenyewe hivyo msihofu Kigoma haiko kama watu wengi wanavyo ifikiria washirika!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...