wadau rugimbana (shoto) na mfugale wakiwa a-taun kwenye mkutano wa utalii. rugimbana ni mmoja wa wadau wakubwa wa sekta ya utalii na pia alikuwa kiongozi wa mchezo wa lawn tennis kwa miaka kibao wakati mfugale ndiye bosi wa hoteli za peacock

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2008

    Mithupu tuambie, nimesikia redion leo kuwa Ex-Governor - Balali kafariki..... Ni kweli????

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2008

    Michuzi,
    nimesikia Balali amefariki is this tue hebu weka blogini wajuaji watupatie ukweli wake.
    mdau , Arusha.

    ReplyDelete
  3. Huyu bwana ni Kaka ama Mdogo wa akina Georgina na Rosemary Rugimbana ambao nilisoma nao miaka ya 1970/73 pale Chang'ombe Shule ya Msingi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2008

    Supu, aka Michudhi
    Mbona Prof hujamwekea koooooooooooz? au ni kina daaaaadaaaz tuuuuuuz. Au konoooooooooooz mpaka uwe na the fulanaaaaaaaaaz?????

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2008

    Nimefurahi kuiona picha ya Bw. Rugimbana. Namkumbuka wakati huo akiwa bosi wetu wa utumishi Shirika la Utalii (TTC) pale IPS 4th floor. It's good to hear he is still in the trade and still looking young and strong.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2008

    Hee huyu alikuwa kaka mkuu Makumira (enzi zangu) tulikuwa tunamuita "kaka Damasi" nasikia mmeoana na yule aliyekuwa dada mkuu kwa jina namuhifadhi alikuwa anatoka Dar na yeye.kama kweli Hongereni sana tuwekeeni picha yenu loong time ndugu zangu.
    Hivi wale kina Peter Kihwili, na bishoo mwenzie Fread,Mwanaidi Yatery,Mbutolwe Mwaipopo,Perfect na dem zake Eva na Aisha wakp wapi? na miss makumix samahani nilikosa reunion when is the next one?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2008

    No kaka Damas hakuona na "dadamkuu" nasikia bado wachumba kama kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...