kwenye ukumbi wa simba katika aicc kuna bonge la simba mlangoni. halafu wala haumi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2008

    duh...huyo simba kweli wa enzi za wadachi!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2008

    Hihihihi kaka Misupu Hapo Unanikumbusha Enzi Zako YMCA Uko Na wajanja Wenzako Wa Zamani Mnawavizia Kina Zainabu...Hahahaha Jinsi Ulivo Weka Mkono Mfukoni..Job true true

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2008

    Hihihihi kaka Misupu Hapo Unanikumbusha Enzi Zako YMCA Uko Na wajanja Wenzako Wa Zamani Mnawavizia Kina Zainabu...Hahahaha Jinsi Ulivo Weka Mkono Mfukoni..Job true true

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2008

    HIYO SIMBA LABDA IPO GONJWA

    Mdau

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2008

    Kama haumi mshike chini katika nanii!hi!ino uhone !

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2008

    Siku hizi tuna simba wa porini na simba wa mjini. Simba wa porini siku hizi hawaogopwi kama wa mbugani. Kama wewe humwogopi simba, basi mchokoze au msogelee yule wa mjini aitwae Denjaman W. mwana wa Mkaa-hapa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2008

    MMh Bro michu!!! Hilo pozi utafikiri waiter wa Ngorongoro crater

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2008

    duh michuzi noma mikonoz hadi kwa simba,mi nilijua kuna mugongo mugongo kumbe hata mukono mukono pia wamo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2008

    Ann. wa pili umenichekesha sana na JOB TRUE TRUE,the way ulivyoimalizia kwenye sentensi its so funny.Thanks, thats why I ll neva stop visiting this site.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...